Upo wapi saa hizi mkuu..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upo wapi saa hizi mkuu..?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Dec 2, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Nipo hapa maeneo ya bakule club najaribu kuwaza na kuwazua. nlikuja kula mdudu pande hizi lakini naona pamepoa sana. napenda kukaa sehemu yenye makelele na fujofujo. napendaa kukaa sehemu iliyo changamka. Wapi ulipo? pamechangamka/kumekucha? Ndulu kacheka kwa wafanyakazi serikalini, naamin wengi mumetoka. upo wapi? enjoy. mia
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Afu huyu mdudu anaharibu shape wa wanaume wa Dar kama nini.
  Unakutana na mwanamme uso mwembamba hauna nyama, mikono myembamba, miguu myembamba, afu ana kitambi kirefu.

  Jamani punguzeni mdudu na bia au muwe mnaenda gym. Duh siku ya kwanza nlidhani niko Mars
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi niko hapa.
  Kumetulia kama baharini usiku.
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Dah!!! :lol:
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aisee njooni Club E Mlimani City tuko tunaselebuka na Fally Ipupa.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Its not even funny, yaani unakutana na mtu hujui hata umtumieje. Kakongorolewa na mdudu, dah wananichoshaje!?

  Eti ana kitambi chini ya manyonyo yake afu maeneo ya kitovu tumbo dogo, si wizi huu

   
 7. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Mi nipo pande za geto full kubofya bofya.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  am in red na nakunywa heinken, wewe je?

   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nimevaa jeans ya blue niko kwenye kona hapa upande wako wa kushoto karibia na stage.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  nakupungia, u look mwah!
  na huyo ndo Lizzy au Koku?

   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Yah! Nimekuona dah hilo gauni ulilovaa balaa...yah niko na Lizzy hatimaye umemuona sasa....
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kheee kumbe nyie mnakonyezana kisiri siri. .
  Njoo basi usilimie na mie nikuone maana naona Fynest anakuficha.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa mbona hukuniambia Kongosho ananiona niweke pozi?
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Acha maskhara kaingia Dar lini?
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  hahahahahah.......duh...The Finest huyo! Mi simo!:lol: nimechekaje!
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280

  I smell danger......:hatari:
   
 17. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,043
  Likes Received: 7,489
  Trophy Points: 280
  Aaah, mimi asubuhi hii nitakuwa shambani tu.
  Baada ya shughuli za shamba na mifugo kwa wiki nzima, huwa wikiendi baada ya vikao vya kiji kama vipo asubuhi, huwa napenda kwa kipindi hiki kuja shamba nakaa kivulini nikiangalia mazao jinsi yalivochomoza na maendeleo yake.
  Hiyo ni kwa wikiendi hizi.
  Tofauti na kipindi hiki huwa nakwendaga either kwenye maporomoko ya maji, milimani au kuendesha baiskeli, kote huko lazima nibebe miziki ya kispanish/latino au country musics pia Mang'oma
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mdudu anaendana na valuu. halafu baadae unazimua na kili baridi.mia
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  jana nlizimika hadi batani nilikua sizioni. vipi huyo fally ipupa mlimkuta au alikuja mkewe? mia
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kama unapenda fujo na makelele njoo hapa workshop yetu hapa Keko, kuna mashine za kuchana mbao zina kelele b'laa. Bila kusahau sisi wenyewe ambao ili tuskizane inabidi tuongee kwa sauti kubwa!
  Huyo mdudu unaeza chukua 'take away' ukaja kulia huku.
  Sawasawa?
   
Loading...