Upo wapi saa hizi mkuu..?

Aaah, mimi asubuhi hii nitakuwa shambani tu.
Baada ya shughuli za shamba na mifugo kwa wiki nzima, huwa wikiendi baada ya vikao vya kiji kama vipo asubuhi, huwa napenda kwa kipindi hiki kuja shamba nakaa kivulini nikiangalia mazao jinsi yalivochomoza na maendeleo yake.
Hiyo ni kwa wikiendi hizi.
Tofauti na kipindi hiki huwa nakwendaga either kwenye maporomoko ya maji, milimani au kuendesha baiskeli, kote huko lazima nibebe miziki ya kispanish/latino au country musics pia Mang'oma

dah! Naona ume-stick na kilimo.
Thafi thana!
 
Acha maskhara kaingia Dar lini?

mimi sijaskia ujio wa ipupa. hawa wasichana hasa kongosha ukiwasikiliza kila jambo itakula kwako. pale mlimani city usiku kuna viumbe wa udsm. ukimsemesha kidogo tu utaskia anakuambia eti ana kiu,sasa ndo unashangaa, vyake anakula peke yake vyako mnakula wote. ukimnyima anakuita bahili. pale pana boa bana.wale madogo wasumbufu. mia
 
kama unapenda fujo na makelele njoo hapa workshop yetu hapa Keko, kuna mashine za kuchana mbao zina kelele b'laa. Bila kusahau sisi wenyewe ambao ili tuskizane inabidi tuongee kwa sauti kubwa!
Huyo mdudu unaeza chukua 'take away' ukaja kulia huku.
Sawasawa?

hahahaaaa...!! napenda kelele za mziki na fujo za walevi. huku wafumaniane, mala wamwagiane pombe, huyu katukana. hapo ndo pakujifunzia uvumilivu. mia
 
Aaah, mimi asubuhi hii nitakuwa shambani tu.
Baada ya shughuli za shamba na mifugo kwa wiki nzima, huwa wikiendi baada ya vikao vya kiji kama vipo asubuhi, huwa napenda kwa kipindi hiki kuja shamba nakaa kivulini nikiangalia mazao jinsi yalivochomoza na maendeleo yake.
Hiyo ni kwa wikiendi hizi.
Tofauti na kipindi hiki huwa nakwendaga either kwenye maporomoko ya maji, milimani au kuendesha baiskeli,

Mkuu mbona nakuona una valuu umelala kfudifudi unabofya bofya.mia
 
hahahaaaa...!! napenda kelele za mziki na fujo za walevi. huku wafumaniane, mala wamwagiane pombe, huyu katukana. hapo ndo pakujifunzia uvumilivu. mia

very contrary na mie.
Nikikosa bar tulivu ni aheri nichukue Konyagi Phantom(750ml) nikainywee gheto!
 
Nipo kwenye gari natoka mkoa mmoja kuelea mwengine ila naomba gari isifike tunapoenda kwani imepakia 'VIMWANA' si mchezo! Nahisi siku yangu leo imeanza na Barka.
 
kama umekaa na kimwana siti moja safarini basi una bahati. kwa upumbavu wa dreva gali litawahi kufika. hakikisha unachukua contact mkuu. asikuache hivi hivi. safari salama. mia
 
mkuu gari inachukua abira 40 tupo wanaume 19, walobaki ni wanawake hapa kwenye siti tupo 'pair' na kamvua kameshaanza kunyesha. Hem vuta hisia.
 
dah!...kweli mkuu nmevuta hisia. kashatoa kanga kwenye bagi ya kujifunika? fungeni vioo halafu umwambie mjifunike wote. mkuu usisikilizie, anza kupapasa sasa hivi. ukizubaa atakudharau. Mia
 
Niko lecture ki2 extreme mpaka jpili. Digree za st. Kayumba mchezo? No wkend, no sabath, nothng....i envy u dudes!
 
dah!...kweli mkuu nmevuta hisia. kashatoa kanga kwenye bagi ya kujifunika? fungeni vioo halafu umwambie mjifunike wote. mkuu usisikilizie, anza kupapasa sasa hivi. ukizubaa atakudharau. Mia
Mh! Haya weeee....... Wk end njema
 
dah!...kweli mkuu nmevuta hisia. kashatoa kanga kwenye bagi ya kujifunika? fungeni vioo halafu umwambie mjifunike wote. mkuu usisikilizie, anza kupapasa sasa hivi. ukizubaa atakudharau. Mia

me hope that she'z deadly waiting for jamaa kuanza kumsemesha.
Ila ami alivyo rojorojo sijui, em' tuwe wastahimilivu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom