Upo wapi saa hizi mkuu..?

me hope that she'z deadly waiting for jamaa kuanza kumsemesha.
Ila ami alivyo rojorojo sijui, em' tuwe wastahimilivu!

mi mwenyewe nshaanza kumstukia. wanaweza fika waendako jamaa akawa hajatema madini bado. mkuu safari yenu imefikia wapi? umempata?? Mia
 
mkuu kimya kingi kina mshindo, safari nimefika salama na kwa bahati njema wikienda kale katoto kalikua kanaenda kumtembelea bibi yake karibu kabisa na hapo ambapo nilikua naenda mimi. Sitaki ufahamu zaidi nini ambacho kimeendelea. Ningeomba unipe jina lako halisi ili wakipatika mapacha mmoja awe somo yako!
 
Yakheeeeee weeeee umenitukana sana!! Lakini pamoja na hayo nakuomba kama una katoto kadogo kadogo ka kike usije kukichukulia mahari niwekee mimi nataka nije kumpa 'kichalii' changu ambacho huenda baada ya miezi 9 kikaja duniani nataka tuunganishe udugu, wala zisije kukuingia kasumba za hawa wanaosema wanataka kuvunja Muungano!
 
hahahaaaa...mkuu mara hii ushawaza mtoto..!!?duh kweli wewe ni noumer.kwa maneno hayo inamaana umelamba dume uongo? hongera zako.nakuonea tamaaaa...!! mia
 
Yakheeeeee weeeee umenitukana sana!! Lakini pamoja na hayo nakuomba kama una katoto kadogo kadogo ka kike usije kukichukulia mahari niwekee mimi nataka nije kumpa 'kichalii' changu ambacho huenda baada ya miezi 9 kikaja duniani nataka tuunganishe udugu, wala zisije kukuingia kasumba za hawa wanaosema wanataka kuvunja Muungano!

mantakhof ami yangu! Mimi na Wazanzibar damu damu, inshallah mwanao akue salama nije kumpa mke!
 
mi mwenyewe nshaanza kumstukia. wanaweza fika waendako jamaa akawa hajatema madini bado. mkuu safari yenu imefikia wapi? umempata?? Mia

safi sana! Amejibu hapo juu kuwa asharekebisha mambo na anataraji kupata mtoto na huyo kimwana!
 
najiandaa kwenda kwenye mdahalo "Muungano wetu na Tz tuitakayo" hotel Belmont posta mpya.
Lazima nizamie mike nitoe nyongo! "Serkali '1' au muungano ufe!
 
Njoo dirishani kwangu,zile kelele za naniliuu zinapatikana kwa bei chee,na tumeboresha kwani tumeweka kochi kwa njee,na kuongeza ukubwa wa matundu ya kupiga chabo,wahi sasa the offer is valid but chances may become full.
 
Karibuni Chako ni chako dodoma! Hapa ndio namalizia kuku wa mwisho!
 
leo akudo wapo hapa bar ya bandali. ukichoka kucheza unatoka nje kupunga upepo au unaangalia wenzio wakicheza kikapu hapahapa kuna kiwanja. napenda hii mishikaki. kesho jioni ntaenda q bar kula mishikaki ya samaki. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom