blacktanzanite
Member
- Aug 19, 2011
- 53
- 4
NI MAONI binafsi naomba mchango wenu ili kupunguza speed ya gari letu ambalo linakwenda 399 km-ccm2015!
Mkuu una maanisha nini?
Imefikia wakati wa wanawake kugombea na sio kupewa!
Mkuu una maanisha nini?
NI MAONI binafsi naomba mchango wenu ili kupunguza speed ya gari letu ambalo linakwenda 399 km-ccm2015!
Nyerere alisema "Hatutamchagua mtu kwa dini yake wala hatutamkataa mtu kwa dini yake. Hatutamchagua mtu kwa kabila lake wala kumkataa kwa kabila lake". Nami naongezea: "Hatutamchagua mtu kwa jinsia yake wala hatutamkataa mtu kwa jinsia yake".

wanawake wa ccm nao ni 'mafisadi vicheche' tu, hakuna mwenye unafuu pale. Mimi naona afadhali tumpe el kwasababu anaonekana amejirekebisha hasa kutokana na kauli zake za leo.
Aaaaaah! mwana -mke tena mkojolea nyuma amungoze nani tena wanawake wa chama chetu kwangu binafsi no labda akaongoze kuzim