Upo umuhimu wa urais 2015 kumpa mwanamke kupunguza mwendo kasi huu..

Status
Not open for further replies.
Hatuwezi kuongozwa na mwanamke...kama ndoa za mashoga tumepinga basi naye tutampinga hivyo hivyo.
 
Kwahiyo una maana Lowassa anaongopewa na TB Joshua wa Nigeria?ina maana Lowassa anapoteza nauli bure kwenda kusali Nigeria?Ooooh sshiiiit baaaaaaddd Neeeeeeeeeeeews kwa Lowassa
 
acha utani wewe, hivi haujaona mfano tulionao wa Spika wa Bunge? angalia tena na upande wa UWT, halafu unasema mwanamke awe raisi, nasema hii bado kabisa kwa Tanzania yetu. hata u makamu bado kabisa.

Hakika tunakoelekea tutakuja kunyimwa unyumba mwaka mzima! Kama waziri simba tu alisema tukiinyima ccm kura tunyimwe unyumba, je mwingine akiwa rais itakuwaje? najianda kuihama Tz kama mambo ndio haya!
 
Huu si utabiri,huu si upgaji Ramri.
Ila ndicho kinacho andaliwa na watu fulani fulani.
Kuhakikisha mtu fulani Mwanamke Agombe Urais.

Hivi kwanza hawa wanawake wana waume? Maana kuna kitu kinanisumbua kujua kuhusu hawa watu. Mfano bora wa kiongozi ni ndoa yake, hatutaki kuongozwa na watu walioshindwa na ndoa zao! Nafikiri hicho kiwe pia kigezo cha kumpima mtu. Jiulize Sofia simba hana ndoa na anaongoza wake zetu, si atawafundisha tabia mbaya? Siyo mfano wa kuigwa, cjui Migiro vp? Bibi Kiroboto vp? Je Rita mlaki cjui ila niliwahi kusikia umbeya kuwa mume wake anakomaga! Na wengine wengi tupeane habari zao tujue kama wanatufaa baada ya kuwafaa waume zao kwanza.!
 
Kuna haja gani ya kuanza kubishana kuhusu hili wakati kila kitu kitakuwa wazi soon!Bado tuna matatizo makubwa ya hali mbaya ya uchumi na wananchi kukosa huduma za msingi hivyo kama hao tunaodhani wanakuja tuwajadili kwa kazi na uwezo wao si kwa tetesi kuwa ndiye au siye,pia tuache ubaguzi na dharau,kila mtu ana haki na usawa kwa mwenzake haijalishi ni mwanamke au mwanaume.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom