Upo umuhimu wa urais 2015 kumpa mwanamke kupunguza mwendo kasi huu..

Status
Not open for further replies.
Urais hauhitaji kupewa bali kutafuta na kuridhiwa na watanzania. Acha wawaweke Akina Dr. ARM na Prof AT halafu CCM waone hasira za watz. Kwa namna Spika anavyoendesha Bunge ni dhahiri kwamba Urais hatujapata mwanamke wa kuhimili mikiki hii ya sasa na uchumi dhaifu
 
Aaaaaah! mwana -mke tena mkojolea nyuma amungoze nani tena wanawake wa chama chetu kwangu binafsi no labda akaongoze kuzim

kaka taratibu ee!huyo unayemdharau ndo alikuzaa na kukuongoza tokea mdogo!leo ndo unajidai kidume!toa hoja sio unaleta dharau zako hapa
 
Yaani Sophia Simba ateuliwe na CCM kugombea nafasi ya Urais 2015.
Naunga mkono nafasi hii ipewe mwanamke toka ccm kuondoa huu ushindani wa madume


Sophia Simba???? basi makamu wa rais awe Nape Nnauye.... Bendi ya taarabu hiyo halafu mwenyekiti wa chama chetu ccm awe Yusuf Makamba, mtunza hazina RA
 
Yaani Sophia Simba ateuliwe na CCM kugombea nafasi ya Urais 2015.
Naunga mkono nafasi hii ipewe mwanamke toka ccm kuondoa huu ushindani wa madume

Kwani anaegombea ccm ni lazima ashinde? Wanaeza simamisha mwanamke na chama kingine wakasimamisha mwanaume wakampitisha mwanaume kwahiyo ccm si lolote si chochote
 
Wanawake wa CCM nao ni 'mafisadi vicheche' tu, hakuna mwenye unafuu pale. Mimi naona afadhali tumpe EL kwasababu anaonekana amejirekebisha hasa kutokana na kauli zake za leo.

Mwitaa naona tangia BAN umejirikebisha
 
NI MAONI binafsi naomba mchango wenu ili kupunguza speed ya gari letu ambalo linakwenda 399 km-ccm2015!


Mkuu ilisha letwa hapa mipango ya ccm 2015 watamsimamisha mwanamke ili wawashawishi wanawake wenzake hilo litafanywa cdm wakimsimamisha silaha imeonekana mtuu wakushindana naye ndani ya ccm haonekani sijajuwa kama wewe umebandika kupima upepo mikinacho nikela si mwanamke kinachochukiza nijinsi wanavyotaka kumutumia kama chupa ya maji ikitumika inatupwa mkuu kumbuka mafisadi walivo fanya usipika makinda na 6 kinacho fanyika bungeni wote tunaona mwenyemacho haambiwi wona mimi ninamuheshimu mwanamuke zitumike njia nzuli tusiwatumie kama ngawo
 
Nawashauri ndg zangu fanyeni kazi,acheni mambo yenu ya ndoto za alinacha...tumemaliza uchaguz hata mwaka haujaisha...hizo ni dalili za umaskini mkubwa wa hoja...
 
we msofe kama imekuuma sana kufa nilichokiandika hakibadilishwi na mtu yeyote inaonekana unamachungu
 
Aaaaaah! mwana -mke tena mkojolea nyuma amungoze nani tena wanawake wa chama chetu kwangu binafsi no labda akaongoze kuzim

umelaaniwa. Huyo unayemuona hafai ndiye aliyekuzaa na kukulea, shika adabu yako.
 
MIND UR LANGUAGE WE UNAKOJOLEA WAPI?
WANAWAKE WANAWEZA.KM MNATUDHARAU
NINYI MMEFANYA NINI
KIPYA SINCE THEN?
na tusi hilo umeanzia kiumpa mama aliekutotoa
demu wako
na jamii mzima
shame on you!!!! aghrrrrrrrr

punguza hasra. Anaweza kukutafutia BAN bure.
 
Si busara urais kuzingatia jinsia ya mtu. Yeyote anayefaa na kupendwa na watanzania apewe kura atuongoze. Sisi tutakuwa nyuma yake. Tena kwa mimi hata masuala ya vyema si muhimu. Ninahitaji mtu afaaya kutoka chama chochote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom