KABAVAKO
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 229
- 32
Amepewa tuzo ya Nobel
Hiyo ilikuwa propaganda ya kumsaidia kushinda uchaguzi wa mwaka huu
Amepewa tuzo ya Nobel
NI MAONI binafsi naomba mchango wenu ili kupunguza speed ya gari letu ambalo linakwenda 399 km-ccm2015!
Aaaaaah! mwana -mke tena mkojolea nyuma amungoze nani tena wanawake wa chama chetu kwangu binafsi no labda akaongoze kuzim
Amepewa tuzo ya Nobel
punguza hasra. Anaweza kukutafutia BAN bure.
We @mzee ndiyo nimelaaniwa kinachokuwasha ni nini?
aaah kwa mtindo huu bora tu mambo gani haya
Huu si utabiri,huu si upgaji Ramri.
Ila ndicho kinacho andaliwa na watu fulani fulani.
Kuhakikisha mtu fulani Mwanamke Agombe Urais.
Tunajua kwamba ndicho mafisadi wanachoandaa. Tanzania inamhitaji Sata. Sijaona mwanamke yeyote aliye na ujasiri wa kufanya anayoyafanya Sata kule Zambia. Hakuna.Huu si utabiri,huu si upgaji Ramri.
Ila ndicho kinacho andaliwa na watu fulani fulani.
Kuhakikisha mtu fulani Mwanamke Agombe Urais.
Tanzania inamwitaji Sata,ATA NA IDE,Kwanza Mpka masharti ya Zindiko la nchi kupitia Mwlm.Jk.nyerere pake kilwa livunjwe.Tunajua kwamba ndicho mafisadi wanachoandaa. Tanzania inamhitaji Sata. Sijaona mwanamke yeyote aliye na ujasiri wa kufanya anayoyafanya Sata kule Zambia. Hakuna.