Upo umuhimu wa urais 2015 kumpa mwanamke kupunguza mwendo kasi huu..

Status
Not open for further replies.
acha utani wewe, hivi haujaona mfano tulionao wa Spika wa Bunge? angalia tena na upande wa UWT, halafu unasema mwanamke awe raisi, nasema hii bado kabisa kwa Tanzania yetu. hata u makamu bado kabisa.
 
Mi Migiro 2015
Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Ar - Dar, ndani ya gari nilikaa na jama mmojabaliyenieleza mpango huo mzima na jina la mgombea. Jamaa aliweka wazi kuwa ni Pr. Anna Tibaijuka ndiyo anayendaliwa awe mrithi wa JK na hili linasukumwa sana na wahaya ambao wanaukubi mpango huu. Hayi yalikuwa ni kwa mujibu wa jamaa huyo, sasa sijajua yana ukweli kiasi gani.
 
Tanzania inamwitaji Sata,ATA NA IDE,Kwanza Mpka masharti ya Zindiko la nchi kupitia Mwlm.Jk.nyerere pake kilwa livunjwe.
Na kibatari cha kupumbumbaza Wa Tz kife,na safari hii wamekafara kweli.

Yale makaburi yaliopo pale Nungwi chini ya Maji yaondoke,Ni masafi na yapo mengi kupita kiasi.
Mki yafanya haya nchi Hii SATA atakuja,

magamba hawana shda na SATA WALA ATA

hebu elezea vizuri hapo
 
Tunajua kwamba ndicho mafisadi wanachoandaa. Tanzania inamhitaji Sata. Sijaona mwanamke yeyote aliye na ujasiri wa kufanya anayoyafanya Sata kule Zambia. Hakuna.

kama tungekuwa tunawanaume majasirio unafikiri Cameron angetutisha na misaada yao! mwanamme jasiri anajua mahitaji ya watu wake bila utegemezi kwa mtu yoyote.
 
acha utani wewe, hivi haujaona mfano tulionao wa Spika wa Bunge? angalia tena na upande wa UWT, halafu unasema mwanamke awe raisi, nasema hii bado kabisa kwa Tanzania yetu. hata u makamu bado kabisa.

nakuunga mkojo na nanihiu yangu yoote!
 
Huu si utabiri,huu si upgaji Ramri.
Ila ndicho kinacho andaliwa na watu fulani fulani.
Kuhakikisha mtu fulani Mwanamke Agombe Urais.

Si umtaje jina? We umeogopa sasa mimi namtaja Dr. Asha Rose Migiro (only a guess), Ana Tibaijuka Simpi nafasi sana kutokana na kale kautamaduni kao ka "charity begins at Bukoba"
 
Hatutamchagua mtu kutokana na sura yake, ama kabila lake au hata fedha zake kadhalika jinsia yake, tumchagua rais kutokana na uwezo wake wa kuongoza Tanzania kuelekea karne ya 21! Full-stop!
 
Hatuwezi kutawaliwa na mtu anayekojoa akiwa amechuchumaa..
Vyoo vya ikulu ni vya kuchuchumaa?Lol!Neways....

Naona ni miujiza hata hivyo kuchagua kiongozi wa nchi na kusema qualification iwe gender,tuetoka kwene dini,sasa ni jinsia.

Huku Taifa linaporomoka tu.

FMES huwa anaiita "banana republic"
 
hao mababa wa demokrasia wameshindwa kumuamini H. Clinton siye tutaweza? Kila kitu tunapangiwa.Sasa hivi tutaambiwa tupikie chooni badala ya jikoni. Na log off
 
Kama kigezo ni gender Sofia Simba anafaa.Anaweza kushinda kiraisi kwa kuwashinikiza wanawake wote kuwanyimba unyumba mabwana/marafiki ambao watakuwa tayari kuipigia upinzania kura
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom