spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,392
- 1,895
Hakuna cha kipindi cha corona wala nini, hakuna jema upinzani wanaweza kufanya kwani ukweli ni kwamba watanzania ni waoga wa mabadiliko ( fear of the unknown) na tumelemazwa na misemo ya kale eti zimwi likujualo, halikuli likakwisha ndio haya sasa tunaenda nayo.Uko sahihi kabisa. Wapinzani inabidi wajipange upya, tena waje na vijana wapya, na waache masuala ya kupinga kila kitu, Kuna kupinga lakini waangalie kwnaza wanapinga nini, na wapi. Kipindi cha corona ndio chadema walipoteza watu wengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app