Je wakijani nao wameweza kusoma nyakati , mbona wengi wao bado wanalazimisha pambio zile zile, na mazoea yale yale, hata ya kushindwa kufwata sheria, kanuni na hats sheria mama. aka katiba.Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'..
Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ...
Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla..
Kubanwa Uhuru wa kuongea
Kufokewa na kukaripiwa
Kutoa matamko Kwa ukali..
Kuzungumza Peke yake..
Kutokukosolewa ..
Kukosekana Kwa mijadala na majadiliano..
Na mengi yaliyoenda na hayo..
Ujio wa Samia umebadili siasa Kwa ujumla..
Samia hafoki anaongea Kwa upole na kushawishi ..
Anazungumzia mazungumzo na mijadala..
Hazuii kukosolewa badala yake anakaribisha kukosolewa Kwa serikali yake..
Kikubwa zaidi ni Mwanamke ..
Watu wanamtazama Kwa 'kumhurumia'..
Na kumpa 'all benefits of the doubts'..
Na kuelewa kuwa anapambana na mfumo dume...
Watu wengi wanaju hii nchi ngumu na wanajua Samia atahangaika kuweza kumudu ...still wanafarijika na 'kurudi Kwa Uhuru wa kuongea na kukosoa'..
Sasa kama wapinzani wanafikiri siasa za kumshambulia Rais na serikali yake zinalipa bado kama enzi za JK watakuwa wanakosea sana....
Sana Sana wataonekana 'hawana adabu'
Na wanajaribu 'kumuonea' 'Rais Mwanamke' baada ya 'kidume ' JPM
'kuwakomesha hadi wakaufyata'..
Siasa za kipindi hiki zinahitaji ubingwa wa hoja kwenye mijadala ya kistaarabu..bila
Kuwa 'boa' wananchi ambao walishachoshwa na Magufuli Sana Sana wanataka 'mzunguko' wa hela urudi kama ule wa JK....
Kuleta siasa za ulalamishi..
Siasa za uwana harakati.
Na siasa za Ku target watu na kuwashambulia bila kujua ..'role halisi' ya hao watu ni siasa ambazo zinakuwa 'outdated ' so fast...
Watu wanampenda Samia sio Kwa sababu ni kiongozi bora.. wanampenda Kwa sababu wanaona 'nafuu inakuja'
Upinzani ukicheza siasa za kuleta 'distraction'wakati watu wanasubiri nafuu ije ..hasira za wananchi zinaweza washukia wao.....
Siasa inaendana na nyakati.. wapinzani wanasoma nyakati??
Huwaoni akina Nape, Gwajima na Gambo wameshabdili gear?Je
Je wakijani nao wameweza kusoma nyakati , mbona wengi wao bado wanalazimisha pambio zile zile, na mazoea yale yale, hata ya kushindwa kufwata sheria, kanuni na hats sheria mama. aka katiba.
Wakatiwingine wanajaribu tu kuchungulia fursa.Huwaoni akina Nape, Gwajima na Gambo wameshabdili gear?
Huko kwenye upinzani ni zito peke yake anayeonekana kuwa na uwezo wa kufanya hivyo angalau kidogo, lakini tatizo lake ni too opportunistic hawezi kuaminika.Ubingwa wa hoja kwenye mijadala ya kistaarabu √
Wengi sasa hivi (ukiwemo wewe na wana CCM wengi tu) wanakiri kuwa Magufuli aliharibu. Nakunukuu:Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'..
Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ...
Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla..
Kubanwa Uhuru wa kuongea
Kufokewa na kukaripiwa
Kutoa matamko Kwa ukali..
Kuzungumza Peke yake..
Kutokukosolewa ..
Kukosekana Kwa mijadala na majadiliano..
Na mengi yaliyoenda na hayo..
Ujio wa Samia umebadili siasa Kwa ujumla..
Samia hafoki anaongea Kwa upole na kushawishi ..
Anazungumzia mazungumzo na mijadala..
Hazuii kukosolewa badala yake anakaribisha kukosolewa Kwa serikali yake..
Kikubwa zaidi ni Mwanamke ..
Watu wanamtazama Kwa 'kumhurumia'..
Na kumpa 'all benefits of the doubts'..
Na kuelewa kuwa anapambana na mfumo dume...
Watu wengi wanaju hii nchi ngumu na wanajua Samia atahangaika kuweza kumudu ...still wanafarijika na 'kurudi Kwa Uhuru wa kuongea na kukosoa'..
Sasa kama wapinzani wanafikiri siasa za kumshambulia Rais na serikali yake zinalipa bado kama enzi za JK watakuwa wanakosea sana....
Sana Sana wataonekana 'hawana adabu'
Na wanajaribu 'kumuonea' 'Rais Mwanamke' baada ya 'kidume ' JPM
'kuwakomesha hadi wakaufyata'..
Siasa za kipindi hiki zinahitaji ubingwa wa hoja kwenye mijadala ya kistaarabu..bila
Kuwa 'boa' wananchi ambao walishachoshwa na Magufuli Sana Sana wanataka 'mzunguko' wa hela urudi kama ule wa JK....
Kuleta siasa za ulalamishi..
Siasa za uwana harakati.
Na siasa za Ku target watu na kuwashambulia bila kujua ..'role halisi' ya hao watu ni siasa ambazo zinakuwa 'outdated ' so fast...
Watu wanampenda Samia sio Kwa sababu ni kiongozi bora.. wanampenda Kwa sababu wanaona 'nafuu inakuja'
Upinzani ukicheza siasa za kuleta 'distraction'wakati watu wanasubiri nafuu ije ..hasira za wananchi zinaweza washukia wao.....
Siasa inaendana na nyakati.. wapinzani wanasoma nyakati??
Kinachoiweka CCM ni woga wa wananchi kupigania haki zao za kuchagua viongozi wanaowataka. Haya mengine mnayoandika huku ni bla bla tu.Umeandika vema ila kuna mambo ambayo huenda kama mwandishi makini ungeyaandika vinginevyo.
Ukisema watanzania walikuwa wameshoshwa na siasa za Magufuli, unamaanisha watanzania gani? Tumia neno baadhi au hata wengi wao lakini sio kweli kuwa wote walikuwa wamechoshwa na Magufuli wakati umeona kwa sehemu kubwa watu wamemlilia Magufuli sana pamoja na mapungufu yake. Ukali au kufoka ni personality yake. Hajaianza kwa sababu amekuwa Rais. Hivyo sio wote, wapo waliompenda tena sana tu.
Kitu kingine, ushauri wako kwa upinzani kuhusu nyakati pia ni mzuri. Ila kitu watu wengi wanasahau ni kuwa kuna vitu vitatu. Kuna Samia, kuna Rais Samia na kuna CCM. Kwa sehemu kubwa, Samia na Rais Samia wanamezwa na CCM ambayo ni mfumo na ni ile ile. Ukiangalia kwa makini, aliyeondoka ni Magufuli, lakini sehemu kubwa sana ya serikali ya Magufuli bado iko madarakani ni reshuffle tu imefanyika. Na approach kwa baadhi ya mambo kama kutumbua yanaendelea mpaka huko Zanzibar, kitu ambacho miaka ya nyuma hakikuwepo. Hivyo, pamoja na upole wa Mama kimtazamo wa nje, Mama yuko kwenye mfumo ule ule na anasisitiza kuwa yeye sio wa tofauti na Magufuli kama watu wanavyotaka iaminike.
Pia, umesema vizuri sana kuwa wapinzani wasome nyakati. Attacking politics zimepitwa na wakati. Huwezi lazimisha mtu mwenye madaraka makubwa kama Rais wa Tanzania kwa katiba yetu afanye unavyotaka kwa ku-tweet tweet. Watapewa nafasi ua majadiliano (kitu ukichosema vizuri pia kuwa Mama anaonyesha ushirikiano) lakini waje na hoja na wawe na staha. Nguvu au kejeli hazitawapeleka popote.
Kwa ujumla, umeandika vizuri sana na hii itawasaidia wakiifanyia kazi maana maana huo ni ukweli.
Magufuli alishachokwa utake usitake !Umeandika vema ila kuna mambo ambayo huenda kama mwandishi makini ungeyaandika vinginevyo.

Magufuli alishachokwa utake usitake !
Kinachoiweka CCM ni woga wa wananchi kupigania haki zao za kuchagua viongozi wanaowataka. Haya mengine mnayoandika huku ni bla bla tu.
unamfahamu rafiki kipenzi wa Magufuli aliyeitwa Kakoko ? ni bwege tu atakayedhani Magufuli alikuwa rais wa wanyongeSoma vizuri, hakuna kiongozi aliyewahi kukubalika na watu wote wakati wote, lakini pia hakuna kiongozi aliyekataliwa na watu wote wakati wote.
Kama ulimchoka wewe, hilo una uhakika nalo 100% na atakayekupinga ana matatizo. Lakini kusema alishachokwa na wengine, ni jambo lenye ukweli kwa assumptions na hypothesis, lakini ukubali wapo waliompenda hasa wenye maisha duni na yeye siku zote alijitafsiri kuwa hao ndio kipaumbele chake na hasira zake ziliwashukia wakwepa kodi na wala rushwa na waonevu ikiwemo wanyonyaji mpaka kwenye madini kule.
Sasa u-balance, usilazimishe kuwa kila mtu alimchoka, ulimchoka wewe.
Si kweli,rejea kuagwa kwake,hiyo ndio picha halisiMagufuli alishachokwa utake usitake !