Anti Christ!!!???16/06/2016.....666 Hawa TCRA watakuwa Iluminat hawa..Teh...teh...teh...
Kama unaamini ni k.ilaza kama wewe sawanaa we ukiwemo![]()
baada ya tarehe 16 ina maana zitazimwa 17..... stay tunedNimejaribu simu yangu fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya TCRA, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiambia ni fake.
Mtakuwa hamjalielewa vizuri tangazo la TCRA, wao wamesema simu zote feki zitapigwa pini leo tarehe 16 saa 6 usiku kuamkia tarehe 17.
Kwa hiyo msijipe moyo, bado 'kitanzi' cha simu hizo feki kipo pale pale.....
hivi humu tunaongea au tunaandika....
Tea time.Niliwahi kuwa na simu inatumia simcard nne hata ukitoa betri bado iko on. Sijui hali yake ingekuwaje sasa.
Nimecheka sanahivi humu tunaongea au tunaandika....
wamesema zibadilishwe kabla ya tarehe16. baada ya tarehe 16 zitazimwa it means leo tarehe 16 usiku saa 6Saa sita usiku itakuwa ni tarehe 17 sio 16 tena
Amna banha leo ndo mwisho ikifika saa sit we ikifika sita shap angalia mnara mira ya data ipo kwenye sim yako kama ipo bas umeponawamesema zibadilishwe kabla ya tarehe16. baada ya tarehe 16 zitazimwa it means leo usiku saa 6
Mwisho leo saa sita usiku.Nimejaribu simu yangu fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya TCRA, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiambia ni fake.
Ni kweli kiongozi maana hata hii ambayo mimi ninaitumua ni Fake laki nashanga kuona bado naendelea kufanta mawasiano
Mwaka 1999 kuna kitu walibuni wakakiita Y2KNimejaribu simu yangu fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya TCRA, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiambia ni fake.
Acha ukilaza dogo..ndo mana mnafelisaa 12: 00 ya tarehe 16 june 2016 imesha pita mkuu