Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Kweli huoni alichoongea au hujaelewa alichoandika?sioni hata ulicho ongea![]()
Kweli huoni alichoongea au hujaelewa alichoandika?sioni hata ulicho ongea![]()
Saa sita usiku itakuwa ni tarehe 17 sio 16 tenaHata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
Muwe mnauliza kwanza kama hamjaelewa, Walisema ni usiku wa tarehe 16/06/2016 kuamkia Ijumaa.Nimejaribu simu yake fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya tcra, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao .
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiamvia ni fake.
Hiyo kweli ni fake ndo maana ina Fanta Mawasiano.Ni kweli kiongozi maana hata hii ambayo mimi ninaitumua ni Fake laki nashanga kuona bado naendelea kufanta mawasiano

Haya basi ni 5:59Saa sita usiku itakuwa ni tarehe 17 sio 16 tena
Ndio maana wengi wanaachwaga na ndege pale airport kwa kutoweza kusoma masaa vizuri...Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
Ndio maana wengi wanaachwaga na ndege pale airport kwa kutoweza kusoma masaa vizuri...
Mwisho ni leo saa sita usiku kuelekea tarehe 17Nimejaribu simu yake fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya tcra, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao .
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiamvia ni fake.
Ila sidhani kama TCRA yetu ik na uwezo kitechnolojia kusitopisha simuHata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
Hiyo ni tarehe 17 sasa, ndio shida ya kuwa Maprofesa kama Lipumba kila sekta ni ubabaishaji tu!Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
16/06/2016.....666 Hawa TCRA watakuwa Iluminat hawa..Teh...teh...teh...Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
du! wakuu kimeo changu bado kinapiga kazi inakuwaje hapoNimejaribu simu yangu fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya TCRA, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiambia ni fake.