Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

We jidanganye tu.Uzimaji ni leo saa sita kamili ucku.Hivyo bado masaa kumi tu kuanzia sasa.
mbona unatutisha ivo? au kwa sababu yako ni genuine? Hujui wenzio tunarudi miaka 30 nyuma?
 
Kuna watu kibao nimewaona wakitumia simu fake, toka mwanzo nilikiwa najiuliza, unajuaje kwamba ni simu ipi kati ya Mbili zinazotumia genuine duplicate IMEI ndio fake?
 
Nitakuwa busy kucheki Makapuku Forum.. Member wasijepotea ghafla kuanzia leo night Kali
 
Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
basi we utakuwa hujielewe, huo muda ukifika itakuwa ni tarehe 17 na si 16 tena. Labda use me saa 11:59 usiku
 
Simu fake zitafanya kazi nyingi tu kwa mfumo huu tulio nao bado wa kuunga unga sio genuine...
 
Bado dk 10 wadau tumuage sim feki maana iko ktk hatua za mwisho za uhai nchini Tz
 
Back
Top Bottom