Updates zoezi la kuzima simu bandia

siamini kama bongo watamudu hiyo teknolojia; huku ni bado, bado, bado sana.
 
nchi ya kukurupuka hii. . Wacha movie iendelee tutashuhudia mengi sana
 
mm nadhani yawezekana huo mtambo waliokua wakiutumia kuzimia simu fake pia na wenyewe ni fake maana sioni impact yake
 
Mimi mwenyewe nina cm feki inajina la nokla sio nokia lakini inadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…