Nafasi zimeshaanza kutangazwa ktk baadhi ya wilaya zenu hivyo kwa wale wanaohitaji nenda ktk wilaya yako husika ktk office za mshauri wa mgambo
Kwa wale wa wilaya ya kinondoni mkoa wa dar es salaam hiyo hapo juu
===================
TANGAZO
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, anawatangazia vijana wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea kwa mwaka 2016.
Barua zilizoainisha sifa za kijana kujiunga na mafunzo ya JKT zimetumwa kwa Waheshimiwa Wakuu wa mikoa. Mchakato wa zoezi la kuwapata vijana wenye sifa unaanza Aprili 2016 hadi tarehe 20 Mei 2016.
Sifa za mwombaji ni kama zifuatazo:-
1. Awe raia halisi wa Tanzania.
2. Umri. Kwa vijana wenye elimu ya Darasa la saba hadi kidato cha sita ni miaka 18 hadi 23.Vijana wenye elimu ya Stashahada umri ni miaka 18 hadi 26 na Vijana wenye elimu ya Shahada na kuendelea umri ni miaka 18 hadi 30.
3. Awe na afya njema, akili timamu.
4. Asiwe na alama yeyote ya michoro mwilini (Tattoo).
5. Mwenye tabia nzuri, hajapatikana na hatia Mahakamani na hajawahi kufungwa.
6. Kwa vijana waliomaliza elimu ya Sekondari kidato cha nne wawe waliomaliza kuanzia mwaka 2010, 2011, 2012, 2013 na 2014 wenye ufaulu ufuatao:-
(a) Waliomaliza 2010 hadi 2012 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 32.
(b) Waliomaliza 2013 wawe wamefaulu na wawe na alama (Points) zisizopungua 38.
(c) Waliomaliza 2014 wawe wamefaulu na wawe na GPA isiyopungua 0.6.
7. Awe na elimu ya msingi aliyehitimu darasa la saba.
8. Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate).
9. Awe na cheti halisi cha kumaliza shule (School Leaving Certificate)
10. Awe na cheti halisi cha matokeo (Original Academic Certificate/Transcript).
11. Asiwe ametumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au KMKM wala kuajiriwa na Idara nyingine Serikalini.
12. Asiwe amepitia JKT Operesheni za nyuma.
13. Asiwe amejihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya, bangi na yanayofanana na hayo..
Waombaji wenye sifa wapeleke maombi yao kwa Waheshimiwa wakuu wa mikoa. Makao Makuu ya JKT hayatapokea na hayapokei maombi yoyote, kwa vijana watakaoomba nafasi hizo wazingatie maelekezo yatakayotolewa kuepuka usumbufu.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya JKT
Tarehe 05 Aprili 2016
Chanzo: TANGAZO MAALUM VIJANA WA KUJITOLEA 2016
Tigo huwa wanatoa guarantee warudishieKasimu ka msichana wetu wa kazi chalii..hakana network nilikanunua pale tigo mlimani city
Afu wenyewe na masimu yao walikuwa wanajitanuuuua sana humwambii kituZitozimwa nyingi za masista duh!! Kuna masista duu wamelizwa sana kwa kupenda vitu vizuri na wanakutana na wasanii wa lumumba kwa kununulia simu fake kwenye box lake akishaliwa tu inakula kwake
Wewe kichwa maji upo??Hapa kwa kweli wamechemka.
Wala vumbi vs wabeba box... Mtu mzima unafanya kazi ya kibarua maisha yako yote kisa uko marekani... Hata kibanda tu huna. . Bora nike vumbi niko kwetu..
Siyo kibarua tu mkuu, huyu Nyani Ngabu huwa anaosha mbupuma za vibabu vya kimarekani! Bpra nibaki kwetu nile vumbi kuliko aibu hii! Na vibabu vya kizungu vinavyonuka sasa mmmhhhhh!!
Umeshapata mafuta ya altereza?Uzi kama huu mbona upo?
unasimi feki ambayo aijazimwa???Hapo Ndipo Utaona Tofauti Ya Tanzania Na Kenya, Bongoland Propaganda Zinazidi Nguvu Ya Ukweli.
Pamoja Na Kwamba Ya Kwangu Haijazimwa, Pia Ni Original Lakini Kuna Dogo Kisimu Chake Ni Fake Ametoka Kunipigia Simu Akidai Bado Yupo Yupo Sana Hewani
Simu yako ni aina gani??mkuu simu zote zina imei,ila tcra hawana imei zote fake na pia wasiwasi mwingine ni kuwa tcra hawakufanya test za kueleweka , na leo aibu hii hawawezi ikwepa.
vp na leo mkuu inaendelea kupga kaz?Nimejaribu simu yangu fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya TCRA, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiambia ni fake.
MREJESHO
Leo tarehe 17 June 2016 simu yangu bado inashika network. Nimejaribu kupiga simu inafanya kazi vizuri kabisa.
Wengine tupeni mrejesho maana mimi huku nimesha anza kusherekea.