mkuu simu zote zina imei,ila tcra hawana imei zote fake na pia wasiwasi mwingine ni kuwa tcra hawakufanya test za kueleweka , na leo aibu hii hawawezi ikwepa.Unajua hata simu fake faida yake ni kua haziko kwenye mitambo yao. Yaani kama simu haina hata hiyo IMEI basi wao kule TCRA hawawezi kuiona, hivyo kuzimia mawasiliano napo ni ngumu pia.
Ha ha ha,mkuu simu zote zina imei,ila tcra hawana imei zote fake na pia wasiwasi mwingine ni kuwa tcra hawakufanya test za kueleweka , na leo aibu hii hawawezi ikwepa.
Hata mimi nacherekea..Wakuuu karibuni nimechinja jogoo kucherekea simu yangu fake haijapatwa na majanga. Hawa tcra hata siwaelewi vitisho vyote kumbe hakuna kitu.[emoji28] [emoji28]
Wala vumbi vs wabeba box... Mtu mzima unafanya kazi ya kibarua maisha yako yote kisa uko marekani... Hata kibanda tu huna. . Bora nike vumbi niko kwetu..Wala vumbi mna hofu eh?
simu ambazo imei (kitambulisho) cha simu si halali. Simu ambayo ni genuine kwenye imei utakuta code ya manufacturer na info nyingine lakini ile fake ni vinamba tuu ambavyo hata havina mwelekeo huwezi jua hata mtengenezaji ni nani[emoji28]Ha ha ha,
Hivi u-fake wa simu unatokana na nini kwanza??
Maana naona kuna watu hua wanajiaminisha kua ukiwa na "MCHINA" tu basi ni fake
MIE YANGU IMEZIMWA JAMANI!
Siyo kibarua tu mkuu, huyu Nyani Ngabu huwa anaosha mbupuma za vibabu vya kimarekani! Bpra nibaki kwetu nile vumbi kuliko aibu hii! Na vibabu vya kizungu vinavyonuka sasa mmmhhhhh!!Wala vumbi vs wabeba box... Mtu mzima unafanya kazi ya kibarua maisha yako yote kisa uko marekani... Hata kibanda tu huna. . Bora nike vumbi niko kwetu..
Kaka hembu njoo tena na hio simu yakoInawezekana unaongea masihara mkuu, lakini nikuhakikishie kwamba, simu yangu haina IMEI totally. Ni Sony Experia (double lines).
Sa sijui ikoje hapa
Wewe muhindi tupe snapshot zingine tuone..kama wewe kidume
Mkuu naskia huko pande za watu mliostaarabika kuna jamaa kapiga watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja risasi na kuua watu 49, vipi ndugu yako bhanunu kasalimika kweli?Wala vumbi mna hofu eh?
Amekubali?Nipo kwa fundi hapa nasubiri kuiflash.