Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Wakishinda waacheni ........ JK!
Kwa hiyo anatudhihirishia kwamba ni kweli huwa wanadhulumu ushindi wa wapinzani wakishirikiana na Tume!
Wakishinda waacheni ........ JK!
Kama Sugu yuko Arumeru atakuwa anakosea, kata ya Nzovwe (Mbeya Mjini) nako kuna uchaguzi mdogo.
mkuu, nimekuamini, nlijua una endeleza maswala ya april fool, coz hainiingii akilini kwenda church kutoa rushwa, maybe utupe full story ilikuwaje....then usirudie kuniita kada, sina uhusiano na magambaNipo ars joo niamini hiyo habari fatilia vyombo vingine kuchelewa vya habari utaniamini tu! kwani mbali na hiyo ya Mwigulu yupo mwenyekiti na diwani wa Ngarenanyuki wameshakamata toka saa 5 asb kwa kosa hilo hilo ila kwa kuwa nawe pia ni kada huweza amini. Ipotezee basi I dont trust in aprl fool sawa bana!!
mkuu ile sukukuu mwisho saa nne.Hahah huu uchaguzi umefanyika tarehe mbaya sana. Huwezi jua habari ipi ni ya kweli na ipi changa la macho
Hawa jamaa wanapenda hela sana....wanakaba hata hivi vihela vidogo vidogo. Badala wawaachie wanachama wengine uwakala, wanatakufanya hiyo kazi wao ili wapate hizo allowance za uwakala!!Nafuatilia updates za arumeru star tv, mtangazaji anasema kituo cha usa river wakala wa cdm ni Kamanda LEMA. Hapa hachakachui mtu wakuu.
ni muhimu sugu kutoa uzoefu wa ushindi.Kama Sugu yuko Arumeru atakuwa anakosea, kata ya Nzovwe (Mbeya Mjini) nako kuna uchaguzi mdogo.
Ahsante kwa taarifa!
Wengine tumeumbiwa utomasotomaso hv!
leo ni sherehe za wajinga . huo ni uwongo mtakatifu.
hapo kwenye red tu, panaonesha mawazo yako yatakuwa ya aina gani, kama wamevunja sheria kwanini wasikamatwe?who the hel* are they?[COLOR=#ff0000 said:Fisadi Mtoto[/COLOR];3599126]Mnaota hakuna wa kukamatwa na mnachapwa leo kama mmesimama
Mbowe yupo kituoni hapo na amekwenda kuripoti kuwa vijana wawili wa cdm wametekwa na na vijana wa ccm na hawajulikani walipo. Mmoja aliyetekwa ameponyoka na yupo kituoni anatoa maelezo!