Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Haha, they are playing with pipo minds. Kura zikiibwa, watatoa evidence kuwa wanaheshimu matokeo na "mwenyekiti" wanted a fair game, haha. Sasa kwanini masanduku ya kura yamekamatwa??? Na ni kwanini waliongeza vituo hea vya kupigia kura? Kama "they aimed a fair game"
Wezi ni wezi tu hata wakija wamevaa ngozi ya kondoo, wanabaki ni wezi tu.
 
Hiyo inaitwa danganya toto ili watu wabweteke walizwe...

Tumeshtuka ndugu, ulinzi wa kura uko palepale tena hadi kwa helikopta. Kucheka na ccm ni sawa na kucheka na nyani shambani kwako
Kweli mkuu...hapa ndo najiandaa kuanza safari kuelekea USA River kulinda kura
 
Thanks Jb...
Waambie mods basi waonganishe hii yako pamoja na ya KOMBAJR....
 
Yamesemwa na mh.kutoka magogoni,kwamba iwapo CHADEMA watashinda basi waachwe wachukue jimbo.. Nanukuu "...iwapo CHADEMA watashinda waacheni..sitaki matatizo yatokee.."
habari hii nimedokezwa na chanzo makini.

Kwa hiyo kuna wakati huwa yanatolewa maelekezo kinyume cha haya?
 
Hata mkishindwa muachiwe jimbo? Kichekesho cha mwaka.
Nani kasema hata tukishindwa? Mbona povu linakutoka mapema hivi au ndio kusema kauli ya mzee wa magogoni imekukatisha tamaa? Vumilia ndugu yangu huu mkuki wa leo mchungu lakini wenye matumaini..
 
JK kama kasema hivyo kaona chama chake tayari kipo tuhumani kwa jaribio la kutaka kumuua mbunge wa Ilemela sasa wakati hili halijatulia ikitokea watu wakafa tena Arumeru kwa kukibeba chama na watu wa nje wanaona atachafuka sana.

Kama kasema katumia akili za mbayuwayu.
 
Asubui na mapema ktk kituo kimoja mpiga kura kalamikia vifurushi vilivokuwepo ndani ya kituo accordin to radio 1. Mkuu wa uchaguzi baada ya dk chache akatokea. Wamedai ni biskuti na soda za wasmamizi ingawa uchunguzi unaendelea. Any updates? Manake magamba macho yanawatoka wanataka kutuibia
 
Wakuu Magamba wamegundua ulinzi ni mkubwa na hivyo wanasema hivyo ili CCM wapumue ila nasema wabanwe ili wajue Watz wa sasa hawadanganyiki.
 
Status
Not open for further replies.
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom