Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Muda mfupi ujao zoezi la kupiga kura litamalizika na kura kuanza kuhesabiwa na kisha matokeo kuanzia ngazi ya vituo, kata na baadae Halmashauri kwa ngazi ya ubunge. Wale wote walioko maeneo ambayo uchaguzi unafanyika leo tunaomba wawe wanaturushia hapa ili na sie tulioko mbali tuwe tunajua mwelekeo uko
Karibuni wana jamvi..............
yah ila leo lazima tupigilie msumsli wa mwisho kwny jeneza la magamba,
 
Hakuna polisi atakayethubutu kumkamata mwanachama wa ccm leo

Mchemba anafikiri anaweza kutumia u-arrogance wake kila mahali anafikiri Arumeru ni Igunga? CCM wakitaka wakubali kufa wakicheka wasijaribu kurusha miguu.
 
kanisani?how, kanisa gani? april fool inaisha saa 4 jamani kha!!mtakuja kufungwa

Nipo ars joo niamini hiyo habari fatilia vyombo vingine kuchelewa vya habari utaniamini tu! kwani mbali na hiyo ya Mwigulu yupo mwenyekiti na diwani wa Ngarenanyuki wameshakamata toka saa 5 asb kwa kosa hilo hilo ila kwa kuwa nawe pia ni kada huweza amini. Ipotezee basi I dont trust in aprl fool sawa bana!!
 
Wakuu, muwe na mipaka. Msitawaliwe na mawazo ya kizamani kwamba eti siku ya wajinga ni kuandika upuuzi tu kila mahali. Wenzenu walioianzisha huwa wanaishia saa nne asubuhi ili kuepusha madhara, na hata uongo wanaoandika ni ule wa kuleta usumbufu tu na sio kuleta hasara. Watanzania tubadilike, vinginevyo wajinga wachache kama hawa watatudumaza maendeleo yetu (kama yapo)


Mkuu hapa hakuna swala la sikukuu ya wajinga wala werevu. Redio imesambaza waandishi kila kata na wanawahoji kwa awamu. Kama bado unasherehekea sikukuu ya wajinga, pole sana.
 
Du nilifikiri kaenda kanisani kutubu kumbe kujiongezea dhambi ya rushwa!Ukifa utaenda wapi ndugu yangu. MPE MUNGU MAISHA YAKO KWANI RUSHWA HUPIGWA VITA NA QORANI NA BIBLIA HATA WASIO NA DINI........?
 
Vijano ndio chachu ya mabadiliko. Hongera vijana Arumeru.
 
Nina hamu sana na matokeo. Magamba wako ICU.
mkuu usijiamini sana, nilikuwepo igunga from A-Z, jitihada zinazotumiwa na ccm mpaka wahakikise wanashinda kihalali au kwa kuchakachua ni kubwa mno kana kwamba zingetumika Kuleta maendeleo namini Tz ingekuwa mbele ya China!
 
Katika hali isiyotarajiwa na wengi (kwa kile kinachoonekana ushabiki uliopitiliza ndani ya nafsi yake) dhidi ya CCM, Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Tobiasi Andengenyi akitoa hali ya uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki kupitia ITV,RADIO ONE na CAPITAL radio alisikika akisema CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAANDAMANO (CHADEMA), alikuwa akitoa ufafanuzi wa matumizi ya helikopta yaliyofanywa na CDM kulinda kura jimbo la Arumeru Mashariki.
 
Walitaka kuua mbunge wa CDM Mwanza lakini bado hawajaridhika sasa wanatoa rushwa tena makanisani!!!!
 
Kiherehere cha nini na wewe?? Tatizo lenu chadema akili za kushikiwa. Kaoge ulale, leo ni kichapo tu

Kiherehere na kisebusebu ni wewe!.Tatizo lenu magamba aka ccm mnapendaga matusi shut up your mouth shame on u magamba.Kila mbinu mnayotumia ni za kijinga kama mlivyo.
 
mkuu usijiamini sana, nilikuwepo igunga from A-Z, jitihada zinazotumiwa na ccm mpaka wahakikise wanashinda kihalali au kwa kuchakachua ni kubwa mno kana kwamba zingetumika Kuleta maendeleo namini Tz ingekuwa mbele ya China!
Hahahahaaa unajua inaonekana kila nchi ina fani yake, si ya kwetu iko kwenye kuhakikisha tunashinda uchaguzi kwa namna yoyote sio kuendelea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom