dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,487
Kama Sugu yuko Arumeru atakuwa anakosea, kata ya Nzovwe (Mbeya Mjini) nako kuna uchaguzi mdogo.
kule yupo msigwa na makamanda wengine mkuu.
Kama Sugu yuko Arumeru atakuwa anakosea, kata ya Nzovwe (Mbeya Mjini) nako kuna uchaguzi mdogo.
Kiherehere na kisebusebu ni wewe!.Tatizo lenu magamba aka ccm mnapendaga matusi shut up your mouth shame on u magamba.Kila mbinu mnayotumia ni za kijinga kama mlivyo.
leo ni sherehe za wajinga . huo ni uwongo mtakatifu.
Hapo si swala la hela!ni ulinzi wa kura. Kwanza wanajitolea. Au hujui hilo!Hawa jamaa wanapenda hela sana....wanakaba hata hivi vihela vidogo vidogo. Badala wawaachie wanachama wengine uwakala, wanatakufanya hiyo kazi wao ili wapate hizo allowance za uwakala!!
Abdallah Mizengo (AFP)
Shaban Kilita (SAU)
Mohamed Mohamed (DP)
Abdallah Chipaka (TLP)
Khamis Kihemi (NRA)
Joshua Nasari (CHADEMA)
Charles Msuya (UPDP)
Sioi Sumari (CCM).
Ikumbukwe Mbunge wa Arusha Mh. Godbess Rema ni wakala wa chadema katika kituo cha maji ya chai.
Mwanza wanataka kuuwa watu, Arumeru wanateka! Na bado wanataka kuongoza nchi hii!
Hawa jamaa wanapenda hela sana....wanakaba hata hivi vihela vidogo vidogo. Badala wawaachie wanachama wengine uwakala, wanatakufanya hiyo kazi wao ili wapate hizo allowance za uwakala!!
Dah u sound kama mheshimiwa nanihii vile........!Umekunywa hata chai kweli wewe?? Mtu uko huko Tukuyu unajidai unajua siasa za meru, hujitambui, umekwishaa. Yani nawahurumieni Chadema. Naskia jana mbowe kawadanganya eti leo wanawaongezea burudani kwa kuleta chopa nyingine, yani watu wapo kw uchaguzi wao wanawasanifu angani?? si ubazazi huu?? Chadema kwishaaaaaaaaaaa
Tunaangalia mtu ambae haongeki, hatuweki mawakala ili wapate posho, tunaweka watu wenye uwezo wa kulinda kura hata kama hakuna posho!Hawa jamaa wanapenda hela sana....wanakaba hata hivi vihela vidogo vidogo. Badala wawaachie wanachama wengine uwakala, wanatakufanya hiyo kazi wao ili wapate hizo allowance za uwakala!!
Hahah huu uchaguzi umefanyika tarehe mbaya sana. Huwezi jua habari ipi ni ya kweli na ipi changa la macho
Hahah huu uchaguzi umefanyika tarehe mbaya sana. Huwezi jua habari ipi ni ya kweli na ipi changa la macho
Hizi habari ni za kweli kabisa....Lema(MB) ni wakala!!!!!mimi mpaka hizi habari zinanichanganya sasa! :crazy: