Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Kuna umuhimu wa kuyapekua magari yasiohusika (mbali na ya tume na waangalizi wa uchaguzi) ?
 
Ushauri wangu kwa wakuu wa Magogoni ni kuwa, achani haki itendeke, msijaribu kuchakachua kwa namna yoyote ile maana aibu yake ni kwa watawala, na heshima yake ni kwenu pia. Msikubali kupindisha ukweli kwa maslahi ya mtu, kikundi cha watu, familia n.k kwa sababu zozote zile. "Mungu Ibariki Tanzania" "Mungu awabariki viongozi wetu"
 
Kweli wajinga wali wao.Siku zote kampeni zikiisha fungwa siku yakupiga Kura hakuna chama kinacho ruhusiwa kutumia vyombo vya chama au nguo kuhamasisha wapiga kura, ukifanya hivyo umekiuka sheria ya uchaguzi

Unamaanisha hata kama mna Gari la Chama siku hiyo linabaki Nyumbani mnakodi Jingine??
 
CCm ccm aaaaa aaaa chama cha mapinduzi ccm namba wani ushindi unakujaaaaaaaa!

Umekaririshwa we endelea tu kuimba wimbo wa magaidi aka magamba.Magamba hatuwataki!.Mimi nshapiga kura tayari usa,na hadi sasa magamba hawana chao hapa kituoni.Watu wameshaamka huo wimbo ulkuwa unahit enz za mwalimu!! But kizaz hk haktaki kuuona wala kuusikia na ikibd kuuimba hakiwez,imba tu wewe masalia ya magamba.
 
Kuna wakati huwa natamani kuwe na chaguzi ndogo nyiiingi maana zinakuwa na msisimko na vituko vya kila aina
kwa usimamizi legelege wa sheria, chaguzi ndogo naona ni ubatili mtupu na hasara pia. Je unafurahia kusikia "malusinde"?
 
Tabu ni kwamba kunakuwa na vitu vingi sana vya kutiliwa mashaka nafikiri hawa watu wa NEC wana kazi kubwa ya kuhakikisha wanavishughulikia ili kupunguza malalamiko
 
mkuu hata mimi nimeisikia hii ya mwenyekiti wa akheri


Mbowe yupo kituoni hapo na amekwenda kuripoti kuwa vijana wawili wa cdm wametekwa na na vijana wa ccm na hawajulikani walipo. Mmoja aliyetekwa ameponyoka na yupo kituoni anatoa maelezo!
 
Muda mfupi ujao zoezi la kupiga kura litamalizika na kura kuanza kuhesabiwa na kisha matokeo kuanzia ngazi ya vituo, kata na baadae Halmashauri kwa ngazi ya ubunge. Wale wote walioko maeneo ambayo uchaguzi unafanyika leo tunaomba wawe wanaturushia hapa ili na sie tulioko mbali tuwe tunajua mwelekeo ukoje.

Karibuni wana jamvi..............

Kiherehere cha nini na wewe?? Tatizo lenu chadema akili za kushikiwa. Kaoge ulale, leo ni kichapo tu
 
Wataweza vituo vyote 327? Subirini jamani au angalieni TBC ili mdanganywe coz Star TV ilikata mawasiliano arumeru toka juzi, am not sure kama wamerejea!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom