oya makamandaru kuna vurugu zimetokea hapa arumeru mash.maeneo ya maji ya chai .ilikuwa hivi kuna dada mmoja alikuja hapa kituoni maeneo ya s/m,kadai kuwa amemletea msosi wakala wa sau then karan mwongozaji alikuwa ameshashtukia dili akamkataza akaondoka,baaadaye akarudi na wenzake kama kundi kwenye hicho kituo makamanda wa chadema wakawa wamewakata hao watu na kuwapa kichapo cha ukweli then FFU wakaingilia kati.bahati mbaya huyo mdada aliachwa na wenzake alokuwa nao kwani alishindwa kupanda kwenye gari.Habari ndo hiyo makamanda huku magamba hayapumui,wanajaribu kuchakachua kura but wameshindwa.habari ndo hiyoooooooooooooooooo,Nassari hadi sasa ni mbunge wa arumeru mash.