sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Genius Brainsasa mjinga gani aloliwa?
Genius Brainsasa mjinga gani aloliwa?
kwani hiyo helkopta ina alama ya Chadema? je inamaana siku ya uchaguzi vyombo vya anga haviruhusiwi kusafiri!
Yeah nami nasubiri wakati ufike ingawa kama leo masaa yanaenda taratibu vile!Subiri wakati ufike
Genius Brain
mkuu achana helcopter.makamanda kama SUGU anaongoza jeshi la ardhini.hii ni suprise kwa ccm.
wanalinda kura!Kweli wajinga wali wao.Siku zote kampeni zikiisha fungwa siku yakupiga Kura hakuna chama kinacho ruhusiwa kutumia vyombo vya chama au nguo kuhamasisha wapiga kura, ukifanya hivyo umekiuka sheria ya uchaguzi
Kuna wakati huwa natamani kuwe na chaguzi ndogo nyiiingi maana zinakuwa na msisimko na vituko vya kila ainaPresha inashuka,presha inapanda
Kuna wakati huwa natamani kuwe na chaguzi ndogo nyiiingi maana zinakuwa na msisimko na vituko vya kila aina