Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
leo ni sherehe za wajinga . huo ni uwongo mtakatifu.
ITV wamemuuliza mkuu wa operesheni amesema taarifa hizo ni za kweli..
leo ni sherehe za wajinga . huo ni uwongo mtakatifu.
habari kutoka arumeru ni kuwa baadhi ya wanachama wa chadema wamekiuka agizo la igp la kwenda nyumbani baada ya kupiga kura zao,wamekuwa wakiranda randa na kuonyesha alama ya v kwa watu walio katika foleni za kupiga kura ktu ambacho ni kinyume cha taratibu za uchaguzi! Hii inatasfiriwa kuwa ni kulichokoza kwa makusudi jeshi la polisi ili wakichukua hatua kali ionekane wanaonewa
tasfiri ya mita 100 ni sawasawa na kuwa nyumbani kwako, sasa unakaa barabarani na vikundi haramu ili iweje? Kuonyesha alama ya v katika siku ya uchaguzi nayo ni sawa? Wasiwasi wa nini? Be in ur house guys
teh teh teh ccm wanagombana na helcopta.!CCM wamelalamika eti cdm wasitumie helikopta kumove kituo kimoja kwenda kingine kuhakikisha kudhibiti uchakuchuaji lakini Mbowe kasema hawezi kutii barua ya NEC inayowataka wasitishe matumizi ya helkopta mpaka wao ccm waache kutumia Mashangingi yao na yale ya serikali wanayopita nayo kila sehemu kumwaga rushwa. Isitoshe hakuna sheria inayozuia mgombea kutumia helkopta kwenda kwenye kila kituo kwa sababu huo ni usafiri kama usafiri mwingine Says by Mbowe: Sunrise Radio Live:
Helcopter kelele kwa wapiga kura, pia hairuhusiwi kuvaa nguo au kuonyesha alama yoyote ya chama, Helcopter ina rangi za cdm hivyo ni kinyume cha sheria.
Semeni mengine.
Achaeni fair itendeke tujue nani kasuka nani kanyoa.
habari kutoka Arumeru ni kuwa baadhi ya wanachama wa chadema wamekiuka agizo la IGP la kwenda nyumbani baada ya kupiga kura zao,wamekuwa wakiranda randa na kuonyesha alama ya V kwa watu walio katika foleni za kupiga kura ktu ambacho ni kinyume cha taratibu za uchaguzi! hii inatasfiriwa kuwa ni kulichokoza kwa makusudi jeshi la polisi ili wakichukua hatua kali ionekane wanaonewa
Hebu tuelezee hiyo tafsiri ya mita100=nyumbani kwako umeitoa wapi, tunaomba reference tafadhali, Nini maana ya vikundi haramu na pia wasiwasi wa nini watu wakisubiri majibu wakiwa mita mia? au kuna mtu anazunguka kila nyumba kupeleka matokeo? ufafanuzi tafadhali tuweke jazba, ushabiki na hisia pembeni tujikite kwenye hoja!tasfiri ya mita 100 ni sawasawa na kuwa nyumbani kwako, sasa unakaa barabarani na vikundi haramu ili iweje? Kuonyesha alama ya v katika siku ya uchaguzi nayo ni sawa? Wasiwasi wa nini? Be in ur house guys
NEC hawana moral authority ya kusema nani atumie usafiri gani leo siku ya kupiga kura. Wamekaa kimya throghout the campaign period huku sheria za uchaguzi zikivunjwa. Ni wao wenyewe NEC walio-set precedent na leo ni matokeo ya kuboronga kwao.
Mawaziri wamekuwa wanatumia magari ya serikali tena yakiwa na bendera ya nchi kufanya campaign, Viongozi wa serikali wamekuwa wanatishia watu (ref Mary Nagu) ili wakichagua CCM. NEC wakae kimya kabisa, muda wa kuongea walikuwa nao, sasa hivi wasimamie zoezi la kura watu waendelee na maisha.
We vipi...habari kutoka Arumeru ni kuwa baadhi ya wanachama wa chadema wamekiuka agizo la IGP la kwenda nyumbani baada ya kupiga kura zao,wamekuwa wakiranda randa na kuonyesha alama ya V kwa watu walio katika foleni za kupiga kura ktu ambacho ni kinyume cha taratibu za uchaguzi! hii inatasfiriwa kuwa ni kulichokoza kwa makusudi jeshi la polisi ili wakichukua hatua kali ionekane wanaonewa
tasfiri ya mita 100 ni sawasawa na kuwa nyumbani kwako, sasa unakaa barabarani na vikundi haramu ili iweje? Kuonyesha alama ya v katika siku ya uchaguzi nayo ni sawa? Wasiwasi wa nini? Be in ur house guys