Sam Upendo
Member
- Jan 22, 2012
- 32
- 10
Je, na CCM watazuiliwa kutumia magari yao kuzungukia vituo?
wewe baki na ujinga wako na siku yenu. Sisi tupo tunaripoti watukio ya arumeru!
Hawa jamaa wanapenda hela sana....wanakaba hata hivi vihela vidogo vidogo. Badala wawaachie wanachama wengine uwakala, wanatakufanya hiyo kazi wao ili wapate hizo allowance za uwakala!!
Hawawezi nakuapia, tuko makini sana safari hii, hotpot za msosi wanafunua kwanza tuhakikishe sio kura zimejazwa humo. Wezi wakubwa hawa!Asiyekubli kushindwa sio mshindani wanafanya kila linalowezekana kujitangazia ushindi
dua la kukuNa iwe kweli basi.
Je, na CCM watazuiliwa kutumia magari yao kuzungukia vituo?