Sasa unaanza kuharibu.mwigulu atiwa mikononi mwa polisi na kuachiwa.kisa alikuwa akiinadi ccm kanisani na kutaka kuwahonga wapiga kura.
haiwezekani,
habari kutoka Arumeru ni kuwa baadhi ya wanachama wa chadema wamekiuka agizo la IGP la kwenda nyumbani baada ya kupiga kura zao,wamekuwa wakiranda randa na kuonyesha alama ya V kwa watu walio katika foleni za kupiga kura ktu ambacho ni kinyume cha taratibu za uchaguzi! hii inatasfiriwa kuwa ni kulichokoza kwa makusudi jeshi la polisi ili wakichukua hatua kali ionekane wanaonewa
It is simple ni kiasi cha tume kuwakodishia CDM basi la Saibaba wazunguke nalo.tume ya uchaguzi imewaandikia barua chadema wasizunguke katika vituo vya kupigia kula na helkopta
Upuuzi!
angalia usije ukaanza 'kuendesha' mkuu.punguza hofu....hayo ni manyunyu subiri mvua ya mawe inakuja.