hivi wana arumeru mnashindwa kuchukua maamuzi ya busara ya kuing'oa ccm?ujue haya ni maisha yenu na watoto wenuaa?hizi ni ngome za cdm1.kikatiti2.usa river3.maji ya chai4.leguruki5.maroroni6. Mbuguni7.sing'isi/seela8.songoro9. Ngarenanyuki10. King'ori11. Polihaya mengine 50% 1. Akheri2.kikwe3. Makiba4.nkoanrua5. Nkoarisambu6.nkoaranga
Story kamili: Ni kuwa alikuwa kanisani kwa ibada mwisho wa ibada aliombwa na askofu kuwasalimia waumini, nae akawasihi waamini wakitoka kanisani waende wakapige kura kwani hiyo ni haki yao ya msingi!kitu ambacho ni sahihi kabisa lakini baadaye alipotoka nje kwenye gari lake alionekana akiongea na baadhi ya watu huku akigawa baadhi ya bahasha!!! askari wa kanisa alimfuata akamsihi aondoke pale lakini akakaidi ndipo ndipo baadhi ya wamama waliochukizwa na kitendo kile kipiga ukunga(yowe) wa mwiziiii ndipo walipofika viongozi wa cdm na kulibroke gari lake pale alipokuwa anajaribu kuondoka lakini kabla viongozi wa cdm hawajafanya chochote kama vile kulipekua gari kumbe Mwigulu tayari alishakuwa keshawasiliana na Andangenye akiimfahamisha kuwa yuko hatarini hivyo askari walifika pale fasta wakamchukua na kumpeleka usa polisi post. Hivyo kama kawa wameuwa so!!
Edit hapo kwenye reme ni Lema
Kwani I.G.P ametumia kifungu gani cha sheria kusema baada ya kupiga kura watu warudi nyumbani kwao au kila atakachose I.G.P ni sheria na haihojiki kwa vile yupo juu ya katiba? Kwa hiyo IGP akisema hakuna kupiga kura watu wasipige kura kwa sababu IGP. Usipotoshe watu sheria iliyoundwa chini ya katiba inasema kaa mita 100 au zaid kama utaamua kusubiri matokeoa. Ss niambie nani yuko juu ya sheria nchi hii?
Na wale vikongwe ambao ndiyo mtaji wa ccm kwa sasa wengi wao watakuwa wamesha RIP. Labda wataamua wasiandikishe tena wapiga kura kukwepa vugu vugu la vijana la kutaka mabadiliko wasijiandikishe na hatimaye kukizika chama chao cha magamba. Kazi wanayo magamba!...Na 2015 idadi ya vijana itaongezeka.
wanalinda kura mkuu'andoa shaka
habari kutoka arumeru ni kuwa baadhi ya wanachama wa chadema wamekiuka agizo la igp la kwenda nyumbani baada ya kupiga kura zao,wamekuwa wakiranda randa na kuonyesha alama ya v kwa watu walio katika foleni za kupiga kura ktu ambacho ni kinyume cha taratibu za uchaguzi! Hii inatasfiriwa kuwa ni kulichokoza kwa makusudi jeshi la polisi ili wakichukua hatua kali ionekane wanaonewa
hivi jamani lini mwisho wa ccm maana nimechoka i cant take this anymore, mnataka nife kwa hasira ccm au?kwanini msiniache niishi kwa amani katika nchi hii,ee mungu turehemu na hawa waovu.
Radio ya Lowasa, radio 5! Wanaongelea tukio hilo! Inaonyesha wanakabana mpaka penalty!
hawa jamaa wanapenda hela sana....wanakaba hata hivi vihela vidogo vidogo. Badala wawaachie wanachama wengine uwakala, wanatakufanya hiyo kazi wao ili wapate hizo allowance za uwakala!!