Mbowe anafanya siasa za kitoto sana, kwa akili yake ndogo hapo anafurahi kuwa umaarufu unaongezeka.
Hili nalo ndiyo faaaaaaala,yaani bure kabisa.Umaarufu huwa unatafutwa mara mbili?ngoja watu wawakomalie wabaka demokrasia na policcm yao
Mbowe anafanya siasa za kitoto sana, kwa akili yake ndogo hapo anafurahi kuwa umaarufu unaongezeka.
[h=2]Wapigwe tu ya Pinda, sasa ifanye kazi.[/h]Natoa wito maalum kwa jeshi la polisi nchini na dola kwa ujumla, kuwa wahuni watakaoandamana na kuleta vurugu popote hapa nchini wapigwe tu. tumechoka. wafinywe ipasavyo...hii ni cheap politics kucheza na maisha ya watu. Washughulikiwe.
Maandamano sio njia muafaka ya kudai haki
Wapigwe tu ya Pinda, sasa ifanye kazi.
Natoa wito maalum kwa jeshi la polisi nchini na dola kwa ujumla, kuwa wahuni watakaoandamana na kuleta vurugu popote hapa nchini wapigwe tu. tumechoka. wafinywe ipasavyo...hii ni cheap politics kucheza na maisha ya watu. Washughulikiwe.
Mbowe anafanya siasa za kitoto sana, kwa akili yake ndogo hapo anafurahi kuwa umaarufu unaongezeka.
Utamzika mama yako kwanza...
''Wapigwe tu.'' By M.P.K. PinduaMwenyekiyi wa Chadema anakaribia Makao Makuu ya Polisi muda mfupi atakuwa anaingia hapo. Police wameanza kukamata watu waliojitokeza kumsindikiza Mwenyekiti. Huku waandamanaji wanapambana na askari wa FFU vikali. Mji mzima ni balaa. .Tutataheshimiana tu
View attachment 186051
View attachment 186053
Ngoja niende MSALANI nikakojoeMbowe anafanya siasa za kitoto sana, kwa akili yake ndogo hapo anafurahi kuwa umaarufu unaongezeka.
Natamani tuzike baadhi kuanzia kesho jamani
Hapo ulipo unapambana??
Ndugu yangu duniani ukifanya mambo ya kijinga au kutamka maneno ambayo Mwingine anayaona ni ya kijinga basi ujue Mama yako atatukanwa sababu itaonekana hukulelewa malezi mazuri na mama yakoDah! huyu mama kaingiaje hapa maskini....