kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,542
- 1,279
Kwa mwendo wa maringo mithili ya twiga, na zile nyumba zenu mlizoezeka mabati ya madebe mjipange.Kinakuja MOROGOROView attachment 2980770
Kwa mwendo wa maringo mithili ya twiga, na zile nyumba zenu mlizoezeka mabati ya madebe mjipange.Kinakuja MOROGOROView attachment 2980770
Hao wamesepa na kimbunga Hidaya🤣
Hii nchi inaudhi sasa
Mh Kuna vitu vya kuchukulia u serious
Upo karibu na fukweSasa Kimekosa Nguvu Na Kasi
Hapa Nimefuatilia TMA Taarifa Zao Na Vyombo Vya HabariUpo karibu na fukwe
Bermuda Triangle.Hiki kimbunga kinatoa Sauti kama za barmude triangle
Ungekuja kwangu nikupe usingizi mwororo... Ukilala pembeni ya babu unakuwa na usalama wa uhakika...Babu kwa huu upepo usingizi ulipaa mbona.
Tumesha kipotezaKwa mwendo wa maringo mithili ya twiga, na zile nyumba zenu mlizoezeka mabati ya madebe mjipange.