Akili za kitoto hizi unadhani Mungu ni mwanasiasa?Hivi Mungu hawezimkukielekeza kwa watesi wetu?
Wanaodhulumu miradhi?
Wanadhulumu mari za wafiwa[wagane na wajane]?
Mungu hawezi kuelekeza kwa watu waliojaza damu za watu mikononi mwao?
Mungu anaona CAG report? Hawezi fanya jambo?
Aisee shukuru sana MkuuMimi nikajua kimbunga cha maana kumbe mweeee!! Hakuna kitu hapo miyeyusho
Nimepoteza mkanda wa kiuno...Hidaya Dar es Salaam..Nimemkumbuka Pepe kalle Hidaya
Punguza uwoga cha kawaida hichoAisee shukuru sana Mkuu
Tokea nizaliwe sijawahi shuhudia upepo mkali kama huu unaoendelea tokea jana jioni, nipo kitandani hapa hadi kitanda kinatikisika, can u imagine
Allah atuvushe tu
Location visiwani
Acha utani, kimbunga kimefika visiwa vya Ukerewe!Aisee shukuru sana Mkuu
Tokea nizaliwe sijawahi shuhudia upepo mkali kama huu unaoendelea tokea jana jioni, nipo kitandani hapa hadi kitanda kinatikisika, can u imagine
Allah atuvushe tu
Location visiwani
Nipo huku kinapoanzia mzeeAcha utani, kimbunga kimefika visiwa vya Ukerewe!
Anaupiga mwingi amemsukumia Hidaya kwa majiraniKenya ndiko wana hali mbaya na somalia kwasasa
Naam. Atatusaidia na atatushika na mkono wake wenye nguvuMsiogopee Bwana yu nanyii msifadhaike
Aisee shukuru sana Mkuu
Tokea nizaliwe sijawahi shuhudia upepo mkali kama huu unaoendelea tokea jana jioni, nipo kitandani hapa hadi kitanda kinatikisika, can u imagine
Allah atuvushe tu
Location visiwani
Daktari niko hooves hatariHatupo. Usiogope ukiwa mwenyewe.
Babu kwa huu upepo usingizi ulipaa mbona.Lala mrembo.... Punguza hofu.
Serikali ya awamu ya sita iko macho inakulinda....