muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 13,622
- 10,338
Dar haipo karibu na Pwani?.Mbona TMA hawajasema kama Dar nayo itaathirika!wanasema pwani TU!!
Pale usalama upo wa kutosha mkuu, hapajaezekwa na mabati ya alafKizimkazi.aondolewe magogoni jamani akafichwe kigoma😅😅😅
Kizimkazi.aondolewe magogoni jamani akafichwe kigoma😅😅😅
una waamini TMA?Mbona TMA hawajasema kama Dar nayo itaathirika!wanasema pwani TU!!
Asije bebwa na kimbunga😂Pale usalama upo wa kutosha mkuu, hapajaezekwa na mabati ya alaf
Tz hatujawahi kuwa serious🤣🤣🤣Nipo Temeke hapa nimetoka nje kwenda uani nimekutana nacho aise! Sema kina sura nzuri ila speed yake kidogo haiko sawa.