Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,418
- 16,664
Comoro lazima watakuwa wanafurahia showKuna kisiwa naona kinatetemeka
Comoro lazima watakuwa wanafurahia showKuna kisiwa naona kinatetemeka
Point ni kikipiga kikaleta madhara hatua zipi zitaendelea ndo inapopimwa serikalichadema wanafikiri kimbunga kitaleta maafa wapate nitoke vipi walivyo hovyo
Wapi huko!?Nimejikuta juu ya kifua cha jirani.ndo naamka hapa eeeh upepo mkali Sana
HUKU KWETU GOBA, KUNA UPEPO MKALI.Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth
====
Pia soma: TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara
Kenya ndiko wana hali mbaya na somalia kwasasaComoro lazima watakuwa wanafurahia show
Mkuu si kweli..Kenya ndiko wana hali mbaya na somalia kwasasa
Hayo ndio mawazo ya mtu mzima? Aisee wewe kichwa chako Ni boksi la kufugia nywele tu.chadema wanafikiri kimbunga kitaleta maafa wapate nitoke vipi walivyo hovyo
Kimbunga kimekukamatia mpaka usingiziNimejikuta juu ya kifua cha jirani.ndo naamka hapa eeeh upepo mkali Sana
Ulisema hamna tsunami, manabii waongo, sasa unajificha nn?Je ikitokea ghafla kikapita mitaa ambayo mtu upo ni sehemu zipi salama za kujificha na kubaki salama?
Mungu atunusuru..Little or no impact in Dar....
Sema mvua isinyeshe tu.
Ila huko kusini kazi itakuepo
Ukiangalia hali ilivyo sasa ni pwani yoteKenya ndiko wana hali mbaya na somalia kwasasa