Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Taarifa ambazo hazijathibishwa zinasema Polisi wanapora mali na KUBAKA wanawake.....mlioko huko tupeni ukweli!
 
Mimi naamini kuwa Tanzania si Dar Es Salaam peke yake, lazima serikali ipanue uchumi wa mikoa ya pembezoni, na rasilimali gesi itumike kwa manufaa ya taifa zima ikiwa palepale Mtwara, tujenge mtambo mkubwa wa kuzalisha umeme na kuunganisha na gridi ya taifa, tujenge viwanda vya mbolea na kemikali mbalimbali, tujenge mahoteli makubwa kwa ajili ya utalii wa mikoa ya kusini n.k. Tuache kuufanya uchumi uitumikie siasa.

Mimi nawashauri viongozi wa kiserikali mkoani Mtwara na Lindi na wale wa Serikali kuu kitumia vizuri fursa za vikao wanavyokaa kujadiliana namna ya kumaliza matatizo na umasikini wa wananchi, kuliko kupoteza muda wakijitungia propaganda ya eti kuna watu wanachochea wananchi wa kusini” na kisha kujidanganya na propaganda hiyo na kisha kuiamini.
Solution ni kukaa na kuwasikiliza wananchi maana serikali inatenda kusaidia wananchi na si kukandamiza au kujinufaisha wao.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nasikiliza hapa Times Fm...wanaongea na mtu toka Mtwara..kuwa Polisi wanabaka,wanakwapua na kuwasomba wote wanaonekana ni jinsia ya kiume!wanapora ktk maduka na hela ktk mifuko ya watu!kifupi Polis wanazidisha chuki kwa Raia...na Batalion moja imeingia na ndege Mtwara,watavalishwa nguo za Polisi ili kuanza kazi rasmi ya kusurubu Wananchi..Polis imeamua kusurubu wananchi,serikali yatawala kwa mkono wa damu!!Bunge linalowajibika kuwasemea wananchi lipo likizo
 
Raia wa tz amkeni na msimame kudai haki zenu, hakuna atayewasaidia ktk hilo bali ni nyinyi wenyewe.
 
JK amesema ataenda kuwakata mapembe raia huko Mtwara!
maSwali yangu ni mawili tu, je:
-Mapembe ni nini?
-Je atatumia silaha gani kuwakata?...kitu chenye nchakali?

Jk kachukuwa uzoefu toka kwa KINANA.
 
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.

ukisikia punguani basi ndio wewe! Watu wameichoka ccm, we unasema eti chadema wametumwa! Ha ha ha na mtahangaika sana mwaka huu! Gesi kwanza vyama baadae
 
Mimi naamini kuwa Tanzania si Dar Es Salaam peke yake, lazima serikali ipanue uchumi wa mikoa ya pembezoni, na rasilimali gesi itumike kwa manufaa ya taifa zima ikiwa palepale Mtwara, tujenge mtambo mkubwa wa kuzalisha umeme na kuunganisha na gridi ya taifa, tujenge viwanda vya mbolea na kemikali mbalimbali, tujenge mahoteli makubwa kwa ajili ya utalii wa mikoa ya kusini n.k. Tuache kuufanya uchumi uitumikie siasa.

Mimi nawashauri viongozi wa kiserikali mkoani Mtwara na Lindi na wale wa Serikali kuu kitumia vizuri fursa za vikao wanavyokaa kujadiliana namna ya kumaliza matatizo na umasikini wa wananchi, kuliko kupoteza muda wakijitungia propaganda ya eti kuna watu wanachochea wananchi wa kusini” na kisha kujidanganya na propaganda hiyo na kisha kuiamini.
Solution ni kukaa na kuwasikiliza wananchi maana serikali inatenda kusaidia wananchi na si kukandamiza au kujinufaisha wao.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hakuna Atakayekusikiliza kaka , Hela imeondoa Ubongo vichwani mwao !
 
10%!? una ushahidi? acha uchochezi, wapigwe risasi tu!
MAWAZO YAKO hayana kichwa wala mguu huo ni uk<<<<>>> jaribu kutumia uwezo wako katika KU argue wakifa ndugu zako we utafurahi? wananchi wanatetea jambo ambalo wanadhani ni la msingi. kinachotakiwa ni kukaa na kuwapa elimu toshelezi juu ya hicho kitu.
 
Huna haja ya kutukana ili
hoja yako ieleweke. Wewe ndiye unayetoa povu, naelewa ni ukosefu wa
elimu unaokufanya uhisi kuwa ili point ieleweke ni lazma iambatane na
tusi.

Twende taratibu, sidhani kama kuna uhusiano wa kisayansi kati ya
kukamata watuhumiwa na kuiba au kuchoma moto mali za raia. Mnaiba na
kuchoma moto maduka yao ili kupoteza ushahidi wa udokozi mnaoufanya,
nyinyi mtakufa maskini. Tunawasaidia sana kuwapigania maslahi yenu ila
mnakuwa kama mmerogwa hivi, hata sehemu inayohitaji kutumia akili ya
kawaida ninyi mmekuwa ni wa kutumia mibavu tu.

Nadhani aliyeanzisha utaratibu wa kuajiri waliofail kuwa polisi na
wanajeshi ndiye aliyetufikisha hapa. Nchi za wenzetu jeshini wanachukua
Cream mana wanajua wana mchango mkubwa sana kwenye kukuza technologia na
hata kwenye kuendeleza taifa. Hapa kwetu hali ni tofauti kabisa, polisi
imekuwa kwa asilimia kubwa eneo ambalo vilaza wamejibanza huko.
Hatuwezi fika kwa utaratibu wa kutumia mibavu sehemu inayopaswa kutumia
akili kidogo tu.

Siku ya jana ilikuwa ni siku ya mapambano, je mmekamata polisi waliokuwa
wanapiga risasi raia?? au polisi wao kuua ni haki yao?? Au mnajifanya
kuwa polisi jana hawakuua wala kufanya uhalifu?? Mnadhan kwa mwendo wa
kamatakamata na kuwakamata hao wachache ndo Mtwara itatulia??Hamwoni
kuwa inahitajika kukutana na wanamtwara na kuyazungumza haya??? Hebu
endeleeni kutumia ubabe afu muone kama huo mradi wa bomba la gesi uta
take off.

Na wewe usiongee kwa kutumia masaburi kwani kuna uhusiano gani kati ya kudai gesi na kuchoma Guest house ya mtu? unajifanya una elimu,! Hakuna watu wanaoleta umwagaji damu dunia kama wajinga nyinyi mnaojifanya mna elimu! Umesomea kila kitu duniani or? elimu isokufaa ni sawa na panga lenye kutu na lisilonolewa F........la wewe!
 
Naona Bensouda atatembelea Tanzania siku si nyingi zijazo!
 
Kuna taarifa ambazo hazijadhibitishwa kuwa Polisi wanaiba na kubaka wanawake.Hii inatia hasira mno!
 
Mimi naamini kuwa Tanzania si Dar Es Salaam peke yake, lazima serikali ipanue uchumi wa mikoa ya pembezoni, na rasilimali gesi itumike kwa manufaa ya taifa zima ikiwa palepale Mtwara, tujenge mtambo mkubwa wa kuzalisha umeme na kuunganisha na gridi ya taifa, tujenge viwanda vya mbolea na kemikali mbalimbali, tujenge mahoteli makubwa kwa ajili ya utalii wa mikoa ya kusini n.k. Tuache kuufanya uchumi uitumikie siasa.

Mimi nawashauri viongozi wa kiserikali mkoani Mtwara na Lindi na wale wa Serikali kuu kitumia vizuri fursa za vikao wanavyokaa kujadiliana namna ya kumaliza matatizo na umasikini wa wananchi, kuliko kupoteza muda wakijitungia propaganda ya eti kuna watu wanachochea wananchi wa kusini” na kisha kujidanganya na propaganda hiyo na kisha kuiamini.
Solution ni kukaa na kuwasikiliza wananchi maana serikali inatenda kusaidia wananchi na si kukandamiza au kujinufaisha wao.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

busar ititumiks, kwani thamani ya mtanzania WA mtwara ma WA far ina tofauti, kwanink kila kizuri hadi kipelekwe dar tu.
 
Nasikiliza hapa Times Fm...wanaongea na mtu toka Mtwara..kuwa Polisi wanabaka,wanakwapua na kuwasomba wote wanaonekana ni jinsia ya kiume!wanapora ktk maduka na hela ktk mifuko ya watu!kifupi Polis wanazidisha chuki kwa Raia...na Batalion moja imeingia na ndege Mtwara,watavalishwa nguo za Polisi ili kuanza kazi rasmi ya kusurubu Wananchi..Polis imeamua kusurubu wananchi,serikali yatawala kwa mkono wa damu!!Bunge linalowajibika kuwasemea wananchi lipo likizo
kwahali ilivyokuwa jana,ni mtu asiekua timamu tu ndo anatembetembea mitaani hapo mtwara,hiyo ina maana kuwa taarifa zako ni za kupika.sikuhizi hapa Jf ni pa kupatia fununu tu ya kinachotokea,confirmation tunaipata taarifa za habari za kwenye Tv.
 
Serikali haiwezi kuingilia mambo ya CHADEMA , wakicchoka wataacha, kila mtu anajua kinachoendelea mtwara, labda serikali iilaumiwe kwa kutomkamata SLAA kwa chama chake kulitumbukiza taifa kwenye umwagaji damu pasipo na sababu

Kwa taarifa yako Mtwara hakuna hata kiongozi wa nyumba mbili (achilia mbali kitongoji) ambaye ni wa chadema, nafac zote za uongozi zimekamatwa na ccm kuanzia nyumba kumi,vitongoji, mitaa, vijj, udiwani na hata wabunge wote wa mkoa mzima wa mtwara ni wa ccm na %ge kubwa ya wanamtwara ni wanachama wa ccm.Katika suala la gesi watu wa mtwara hawana chama wala itikadi ya dini yoyote, wote wako ktu kimoja, mlio mbali Mnapotoshwa kuhusu suala hili, hakuna siasa hapa, wengi hawaujuwi ukweli kuhusu suala hili pamoja na wewe, ni busara ukauliza ukajuzwa wanamtwara wanataka nn hasa. FACT.
 
Back
Top Bottom