Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

habari hii imekaa ki Chadema Chadema lazima reporter ame report kutokea Kindondoni.
Kiongozi suala lenyewe lilivyokaakaa tu hata uwe huna chama utaambiwa limekaa kichadema. Wapo pia waliosema mimi ni mchochezi maana huu ndo usemi wenu magamba. Sisi wana chadema tunafrahi sana kuwa sasa chadema inafahamika kama mtetezi wa haki na ndo mana pale inapoongelewa haki hata kama mtoa mada awe hana chama ataambiwa ni mwanachadema. That sounds awesome! tunafurahi kutambulika kama watetezi wa haki!
 
Kwa UpDate nilizozipata sasa hivi kutoka kwa jamaa yangu aliyeko huko Mtwara na wazungu waliokua wamepiga kambi kwaajili ya utalii ni kua serikali inadanganya wananchi kua wanajeshi wa 4 waliokufa kutokana na ajali sio kweli! Katika daraja hilo ni mto unapita na una Mamba wengi na gari hilo lililokua limewabeba wanajeshi hao ni walikua ni zaidi ya 12 na inakisiwa kua wanajeshi waliokufa katika ajali hiyo ni zaidi ya 9 wengi wao waliliwa na Mamba! Jamaa yangu huyu imebidi wavunje kambi kutokana na hali sio shwari Mtwara!

More Updates coming!

Mkuu,wanajeshi wameliwa na mamba!. Inamaana wanajeshi walishindwa kuvuka kikwazo(mto+mamba) !. Dah inauma sana. Mungu hawapokee katika makao yake. Ameni.Tunashukuru kwa taarifa mkuu.
 
Hivi ni lini mara ya mwisho hii Serikali ilionyesha kuwajali watu hasa wale wa tabaka la chini kwa kuwafanyia jambo lolote la manufaa.Niambie namna Watanzania walivyofaidika na Miradi ya Machimbo ya Dhahabu,Almasi,Tanzanite,nk katika Maeneo yanayozungukwa na Migodi hiyo kisha ndo tuendelee na mjadala Gesi ya Mtwara.Maana ni muhimu kutumia mifano hai kama hii ili kuufanya huu mjadala kuwa na maana zaidi "Substantial argument" na siyo "Rhetorical remarks"

Ndio nyie mnauturudisha nyuma, kwakuwa mgodi upo Arusha wewe unategemea uone impact yake Arusha tu au eneo la Buzwagi tu peke yake! Thats not hopw it works young man. Serikali inakusanya kodi iweke dawa hospitalini, chaki shuleni, ilipe mshahara wa mwalimu, mshahara wa polisi, ijenge barabara n.k.

Hapo hapo ukiwa katika eneo hilo kama wewe mwananchi unanufaika na huduma za muhimu kama umeme na maji pamoja na CSR kutoka kwa kampuni. sasa kama mawazo yako yanafanana na wana mtwara kwamba gesi ni yetu sitashangaa huo mtazamo wako.
 
mabasi matano ya Champion yamebeba wanajeshi???
 
Hata wakati wa Songas tuliambiwa umeme utashuka bei, viwanda vitatumia gesi hivyo bei ya bidhaa itashuka, majumbani ni gesi, magari ni gesi n.k Tafakari

Huko ndipo tunapoelekea ndugu. Lazima ufanye one step at a time.

Sasa hivi matumizi ya gesi majumbani yamengozeka kwa sehemu za mijini sana kama umefanya uchunguzi wa haraka na soon vijijini nao wataanza kutumia nishati hii.
 
Inatakiwa wanawake nchi nzima kutoipigia kura CCM.....one step ahead....2015 kiama cha magamba na mafisadi
 
Serikali inachochoe moto nilivyomsikia Kikwete jana yaani yupo tayari kupambana na wananchi wasio na silaha,kaa
 
Huko ndipo tunapoelekea ndugu. Lazima ufanye one step at a time.

Sasa hivi matumizi ya gesi majumbani yamengozeka kwa sehemu za mijini sana kama umefanya uchunguzi wa haraka na soon vijijini nao wataanza kutumia nishati hii.

Usijitoe ufahamu kujifanya hujuhi nia ya mwandika post.
Anataka kujua kwanini GESI haishuki bei? Tuliambiuwa viwanfda vyote vinavyotumnia ges bei iingeshuka, kiko wapi twiga? Mabati? TBL ? KTM? Mbona hawashishi bei?
 
This has gone from bad to worse, its not a political thing. Please gov handle it in the right way forget about politics.
 
Serikali inachochoe moto nilivyomsikia Kikwete jana yaani yupo tayari kupambana na wananchi wasio na silaha,kaa

Hata mimi nimemshangaa sana mwenyekiti wangu rais Kikwete kwa kauli zake za ajabu ajabu.

Anasema atawakata pembe!! Binadamu gani ana pembe au anawaza tembo wetu?
 
JK amesema ataenda kuwakata mapembe raia huko Mtwara!
maSwali yangu ni mawili tu, je:
-Mapembe ni nini?
-Je atatumia silaha gani kuwakata?...kitu chenye nchakali?
 
Usijitoe ufahamu kujifanya hujuhi nia ya mwandika post.
Anataka kujua kwanini GESI haishuki bei? Tuliambiuwa viwanfda vyote vinavyotumnia ges bei iingeshuka, kiko wapi twiga? Mabati? TBL ? KTM? Mbona hawashishi bei?

Asante mpwa kwa kunyoosha maelezo
 
Kikwete asifikiri anaongoza familia yake, jeuri yake itamtokea puani, Busara inahitajika katika kuongoza nchi, viongozi waliokosa busara na wasio na heshima kwa wananchi hawana nafasi katika Jamii yetu. Wasifikiri hii nchi ni yao, wajue kuwa nchi hii ni ya Watanzania kama wameshindwa kuongoza waondoke hatuwalazimishi na hakuna aliyelazimishwa kuongoza hii nchi.

Mh Rais wangu Dr JM Kikwete, usikubali ushauri km huu wa usio na mashiko na unao tolewa na watu ambao si watanzania. Wanaofanya vurugu mtwara ni wahuni hakuna cha mazungumzo hapo, wakung'ute kwa sana, na usisikilize upuuzi km huu.
 
Binafsi siungi mkono Wanamtwara kunyanyaswa, ila raia kama wameamua kama wana silaha za moto na wanajibizana na askari lazima wadhibitiwe.
 
Kwa kweli walitakiwa watandikwe hasa, tena kama wangepangwa mstari wake kwa waume watandikwe bakora za masaburi familia moja baada ya nyingine, hawana adabu kabisa.

Umeshakuwa mchezo sasa watu kuona kuwa kila upuuzi wao unastahili kuvumiliwa na wengine. Eti kiwanda kijengwe Mtwara, kuna mwekezaji anayewekeza pasipo na soko?

Badilikeni kwanza. Acheni hizo tabia za ushirikina na uswahili usio na mfano, hapo wageni watakuja na mji utabadilika. Lakini kama mnaishi wenyewe kama aina fulani ya wanyama pori msiotaka ushirika na watu wengine mtasubiri sana.

Kwanza msinitibue mimi nimesubiri gesi mwaka mzima nipike kande zangu halafu mnaleta mambo yenu ya kijinga hapa. Tangu lini ming'oko ikapikwa na gesi?
 
Safi safii sana!!!
Wanawake mkiamua mnaweza.
Achaneni kabisa na CCM.
 
Ahsanteni kina mama wa Mtwara....CCM ni wauwaji wakubwa.....

Now I can see the begining of the end...
 
Back
Top Bottom