Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Mtwara (hao vyura wapigao kelele na kuruka ruka juu ya dimbwi la gesi) wataishia kunawa tu.Gesi itafika Bagamoyo. Mradi umegharimu mara dufu ya gharama za ujenzi. Ma-account ya mafisadi Uswiss na Exim Bank-China yameshanona. CCM mafisadi wanaigeuza gesi ya Mtwara kuwa "Bloody Fuel", gesi hiyo itanuka damu ya watanzania wa Mtwara daima.
 
Na utasingizia sana kwa sababu tu wamekamatwa washirika wako na mtaisha wote nawwambieni.. Tuko hapa mtwara polisi hawaibi wanaatafuta wahalifu na kwenye msako haingali wewe nani mbele ya safari mchele na pumba ziajulikana tu
 
Unamlaumu kikwete kuhusu nini? ameshindwa kumuongoza nani? si hao wanaokaidi amri na sheria za nchi wanaongozwa sasa kwa amri kwa kuwa hawataki kutii mamlaka! mtu hafuati sheria unamlaumuje Kikwete? Piga risasi wote wasiofata sheria nyambafu!

Mbona unaandika kana kwamba hizo sheria zimetungwa kwa ajili ya kukandamiza raia na kulinda watawala.
 
Ni kama mwl nyerer ametuachia laana maana toka amefariki mambo mengi yanakwenda hovyohovyo tu
 
Kwa upumbavu wako na wenzako wajinga wajinga kama wewe hichi ndicho mlichokuwa mnasubiri kukisema kwenye vyombo vya habari kwa kuwa mlijua wazi kuna kukamatwa tu kwa wahalifu hao baada ya ujuha mlioufanya! hamkujua kama mmeharibu mali,mmechoma nyumba za watu mmeua, leo mnakamatwa,unatokwa povu ooo,poisi wahalifu! unafikiri vizuri kweli wewe!
wanafanya kazi kwa kupokezana hii ni vita kati ya policcm na polisijamii
 
Kufuatia sekeseke ya Jana mkoani Mtwara, Polisi leo wameamua kufanya revenge kwa kuvamia makazi ya raia pamoja na kuvunja maduka, kuiba na kuchoma moto mali za raia. Polisi wanachokifanya ni kuleta ubabe kwa raia kwa vile jana baadhi waliuawa Polisi wameonekana wakiingia kwenye majumba ya watu na kama wakimkuta mke au watoto wanawapakipigo na kuwalazimisha wataje mkuu wa kaya alipo na asipotaja kipigo kinaendelea. Aidha, kila kijana anayezurula barabarani ni kwamba anakamatwa na kuwahishwa gerezani! Kwa utaratibu huu, tunaweza sema kuwa jeshi la polisi limepoteza sifa ya kusimamia usalama wa raia na mali zao na limekuwa chombo cha wizi na kutesa raia kinyume kabisa na majukumu yao. Napata shida kufahamu kuwa haya yote yanafanywa kwa faida ya raia au nani hasa? Sidhan kama nguvu hizi zinazotumiwa sasa hivi zinalenga kumnufaisha mtanzania kwa namna yoyote ile. Na wala sidhan kama hilo bomba lisipofika Bagamoyo Tanzania itafirisika kiuchumi zaidi ya tulivyofilisika sasa hvi. Chonde Serikali ya CCM mnachofanya sasa hivi ni vurugu na ukatili kwa raia wenu, tena raia ambao 2015 mtataka kupanda majukwaani kuwaomba kura zao. Inafaa mtumie akili ya kawaida tu kujua kuwa, dhurma kamwe haitashinda. Na uongozi dharimu huondoka kwa aibu.
Watu wengine bwana , mnakuwa kama mmeweka akili rehani.Jijengee picha hii-rafiki yako kipenzi ameuwawa na wahuni ,na si watanzania kama unavyotaka kutuaminisha, utafanya kubembeleza kuuliza nyumb hadi nyumba nani kafanya hiyo?Mmewapa vichwa hao wahuni kufanya fujo, halafu mkasema nchi haitatawalika!
Thubutu!!!!!!!
 
Kufuatia sekeseke ya Jana mkoani Mtwara, Polisi leo wameamua kufanya revenge kwa kuvamia makazi ya raia pamoja na kuvunja maduka, kuiba na kuchoma moto mali za raia. Polisi wanachokifanya ni kuleta ubabe kwa raia kwa vile jana baadhi waliuawa

Polisi wameonekana wakiingia kwenye majumba ya watu na kama wakimkuta mke au watoto wanawapakipigo na kuwalazimisha wataje mkuu wa kaya alipo na asipotaja kipigo kinaendelea. Aidha, kila kijana anayezurula barabarani ni kwamba anakamatwa na kuwahishwa gerezani! Kwa utaratibu huu, tunaweza sema kuwa jeshi la polisi limepoteza sifa ya kusimamia usalama wa raia na mali zao na limekuwa chombo cha wizi na kutesa raia kinyume kabisa na majukumu yao.

Napata shida kufahamu kuwa haya yote yanafanywa kwa faida ya raia au nani hasa? Sidhan kama nguvu hizi zinazotumiwa sasa hivi zinalenga kumnufaisha mtanzania kwa namna yoyote ile. Na wala sidhan kama hilo bomba lisipofika Bagamoyo Tanzania itafirisika kiuchumi zaidi ya tulivyofilisika sasa hvi. Chonde Serikali ya CCM mnachofanya sasa hivi ni vurugu na ukatili kwa raia wenu, tena raia ambao 2015 mtataka kupanda majukwaani kuwaomba kura zao. Inafaa mtumie akili ya kawaida tu kujua kuwa, dhurma kamwe haitashinda. Na uongozi dharimu huondoka kwa aibu.
mkuu naomba nikupinge kwa baadhi ya mambo ambayo mimi ninauhakika nayo,kwanza kusema kuwa bomba la gesi linaenda bagamoyo ni uongo na upotoshaji ambao unapaswa kulaaniwa na mtanzania yeyote mpenda amani sijui unataka watu wapate picha gani au umepanga kwa makusudi kuwachonganisha polisi na raia lakini pia hujagusia chochote kuhusu vijana waliofanya fujo na kujificha kwenye nyumba mbalimbali.posi wanataarifa za kwamba wahalifu hao wamejificha kwenye nyumba kadhaa za hapa mtwara.
 
kuna mambo ambayo inabidi watanzania tushilikiane kuyapinga siyo kila kitu tunapaswa kushabikia.
 
.............Kama uyasemayo ni ya kweli na ni kwa manufaa ya Watanzania wote......... why ALL THAT USE OF FORCE???????????................Tafakari!!!!

Wananchi wa Mtwara wamekuwa missinformed kwhaiyo ni wajibu wa serikali kutuliza machafuko halafu baadae itawaelezea manufaa ya hii miradi.
 
Kwa upumbavu wako na wenzako wajinga wajinga kama wewe hichi ndicho mlichokuwa mnasubiri kukisema kwenye vyombo vya habari kwa kuwa mlijua wazi kuna kukamatwa tu kwa wahalifu hao baada ya ujuha mlioufanya! hamkujua kama mmeharibu mali,mmechoma nyumba za watu mmeua, leo mnakamatwa,unatokwa povu ooo,poisi wahalifu! unafikiri vizuri kweli wewe!
Huna haja ya kutukana ili hoja yako ieleweke. Wewe ndiye unayetoa povu, naelewa ni ukosefu wa elimu unaokufanya uhisi kuwa ili point ieleweke ni lazma iambatane na tusi.

Twende taratibu, sidhani kama kuna uhusiano wa kisayansi kati ya kukamata watuhumiwa na kuiba au kuchoma moto mali za raia. Mnaiba na kuchoma moto maduka yao ili kupoteza ushahidi wa udokozi mnaoufanya, nyinyi mtakufa maskini. Tunawasaidia sana kuwapigania maslahi yenu ila mnakuwa kama mmerogwa hivi, hata sehemu inayohitaji kutumia akili ya kawaida ninyi mmekuwa ni wa kutumia mibavu tu.

Nadhani aliyeanzisha utaratibu wa kuajiri waliofail kuwa polisi na wanajeshi ndiye aliyetufikisha hapa. Nchi za wenzetu jeshini wanachukua Cream mana wanajua wana mchango mkubwa sana kwenye kukuza technologia na hata kwenye kuendeleza taifa. Hapa kwetu hali ni tofauti kabisa, polisi imekuwa kwa asilimia kubwa eneo ambalo vilaza wamejibanza huko. Hatuwezi fika kwa utaratibu wa kutumia mibavu sehemu inayopaswa kutumia akili kidogo tu.

Siku ya jana ilikuwa ni siku ya mapambano, je mmekamata polisi waliokuwa wanapiga risasi raia?? au polisi wao kuua ni haki yao?? Au mnajifanya kuwa polisi jana hawakuua wala kufanya uhalifu?? Mnadhan kwa mwendo wa kamatakamata na kuwakamata hao wachache ndo Mtwara itatulia??Hamwoni kuwa inahitajika kukutana na wanamtwara na kuyazungumza haya??? Hebu endeleeni kutumia ubabe afu muone kama huo mradi wa bomba la gesi uta take off.
 
Ila kwa kuua wananchi wa tanzania. hiyo gesi ni mali ya JK na washirika wake, umeme ukizalishwa Mtwara bei haitashuka

Hata umeme ukizalishwa Mtwara mmachinga wa Mtwara aliyeishia darasa la saba hawezi kupata ajira kwenye kinu cha kufua umeme na huo ndio ukweli! Hii inamaanisha kwamba uzalishwe Kinyerezi Dsm au Namtumbo bado hamna uhusiano wa moja kwa moja wa sehemu unapozalishwa umeme na ajira ya wana mchwara maana uzalishaji wa umeme sio labour intensive.

Watu wanaofahamu walikaa chini wakafanya feasibility study ya kuangalia kati ya kuzalisha umeme Mtwara na kuleta nyaya hadi Dsm na kuzalisha umeme Dsm na kuweka mabomba hadi Mtwara option ya pili ikaonekana ndio nzuri zaidi na yenye unafuu kwa mwananchi wa kawaida maana hizo pesa mwisho tunalipa sisi wote kwa riba pamoja na wanamtwara. Sasa wewe unayewahamasisha wana Mtwara kwamba gas haitoki sijui unatumia kigezo gani.
 
Ndivyo walivyokudanganya hivyo kuwa umeme utashuka bei?Lini Wadanganyika mtaendelea kudanganywa.Wewe ndo wale wanaoamini Nchi hii ina mgao wa umeme.Wake up brother or else it will be too late.

I am wide awake my brother.

Mimi sio kama wewe ambao wamegubikwa na Pessimism hata mambo ya msingi ambayo unatumia Logic tu kuyaona unakuwa huyaoni. Kama hujui kama umeme wa gas una unafuu mkubwa ukilinganishwa na umeme wa mafuta na maji basi sioni hata kwanini najadili na wewe swala hili.
 
Hatuna rais Tanzania; ila binafsi najua sikumpigia kura; wakulaumiwa ni wale waliopiga kura ya ndio kwa kufurahia sura.

Mkuu kikwete hakushinda 2010, aliiba kura....alipata kura ndogo mno...dr slaa ndio alishinda...mimi wala simuhesabu kama ni rais namuona kama picha iliyotundikwa ukutani.
 
kwa upumbavu wako na wenzako wajinga wajinga kama wewe hichi ndicho mlichokuwa mnasubiri kukisema kwenye vyombo vya habari kwa kuwa mlijua wazi kuna kukamatwa tu kwa wahalifu hao baada ya ujuha mlioufanya! Hamkujua kama mmeharibu mali,mmechoma nyumba za watu mmeua, leo mnakamatwa,unatokwa povu ooo,poisi wahalifu! Unafikiri vizuri kweli wewe!
unaonekana kama kibaraka wa riz1 vile!
 
Hata mimi nawapongeza wana Mtwara, na tunataka sasa hii serikali inayojiita sikivu iwasikie wanamtwara wanachosema.
 
Back
Top Bottom