[h=3]HALI BADO NI MBAYA
MTWARA....WANAFUNZI WAWILI
WAMETANDIKWA RISASI, MMOJA AMEFARIKI HAPOHAPO[/h]
[h=5]Mwandishi
wetu aliyepo Mtwara ametueleza kuwa hivi sasa baadhi
ya wananchi wa eneo la magomeni mkoani mtwara wamekimbilia katika
Hospitali ya
Mkoa wa Mtwara Lugula wakihofia usalama wao kutokana na
vurugu za kuchomwa kwa nyumba zao pamoja na vibanda vya biashara
zilizotokea leo
asubuhi katika eneo hilo..[/h]
[h=5]Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali
za Askari magereza . Mwanafunzi wa CHUNO amefikishwa hospitali Ligula na
majeraha ya risasi mguuni.[/h]
[h=5]Mwanamke mwingine anayekadiriwa kuwa na
miaka 25 mjamzito ameuawa kwa kupigwa risasi maiti ipo
Ligula.[/h]
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[h=5]Kwa
sasa( jioni hii) inaelezwa kuwa katika baadhi ya mitaa
hali imetulia na ni idadi ndogo ya wananchi ndiyo inayoonekana
wakitembea
mitaani isipokua eneo la magomeni ambako mbomu yanaendelea kusikika huku
huduma
za kijamii katika mji huo zikiwa zimesimama zikiwemo usafiri, huduma za
kibenki
na shule[/h]
Lakini minaona kama wana mtwara wanataka gesi yao ibaki mtwara basi kila watu wabaki na walichonacho kwao
HALI BADO NI MBAYA MTWARA....WANAFUNZI WAWILI
WAMETANDIKWA RISASI, MMOJA AMEFARIKI HAPOHAPO
Mwandishi wetu aliyepo Mtwara ametueleza kuwa hivi sasa baadhi
ya wananchi wa eneo la magomeni mkoani mtwara wamekimbilia katika Hospitali ya
Mkoa wa Mtwara Lugula wakihofia usalama wao kutokana na
vurugu za kuchomwa kwa nyumba zao pamoja na vibanda vya biashara zilizotokea leo
asubuhi katika eneo hilo..
Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali
za Askari magereza . Mwanafunzi wa CHUNO amefikishwa hospitali Ligula na
majeraha ya risasi mguuni.
Mwanamke mwingine anayekadiriwa kuwa na
miaka 25 mjamzito ameuawa kwa kupigwa risasi maiti ipo
Ligula.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa sasa( jioni hii) inaelezwa kuwa katika baadhi ya mitaa
hali imetulia na ni idadi ndogo ya wananchi ndiyo inayoonekana wakitembea
mitaani isipokua eneo la magomeni ambako mbomu yanaendelea kusikika huku huduma
za kijamii katika mji huo zikiwa zimesimama zikiwemo usafiri, huduma za kibenki
na shule
Mliambiwa kumrudisha Kikwete madarakani ni janga la taifa lakini hamkusikia. Chagueni ccm tena 2015.
Hapo ifike mahali pia tujiulize mara mbili mambo yanayotokea siwabezi watu wa mtwara kakini kunauhusiano gani kati ya gesi na daraja?vipi kuhusu mahakama?
Will it help?
Umesahau kwamba nyie magamba ndio wenyeviti kwa uzinzi? Hujui ccm inahusikaje? Hiyo serikali ya kitapeli ni ya chama gani?Ulitaka tuchague wazinifu??? Wapora wake za watu??? Ccm inahusika vp badala ya kujenga hoja kulingana na tatizo unaanzisha uchochezi
Ulitaka tuchague wazinifu??? Wapora wake za watu??? Ccm inahusika vp badala ya kujenga hoja kulingana na tatizo unaanzisha uchochezi