Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Ni ujinga kujaribu kufikiri kuwa kikwete anasababisha machafuko ya mtwara, lakini pia kudhani kuwa kufanya fujo ni kutatua matatizo, sasa kama wanamtwara walijua umuhimu wa kujadiriana kwanini waliingia mitaani na kuanza kusumbua watu walio kuwa tayari kuendelea na shughuli zao za maedeleo? ni upuuzi uliokithiri kuwaza kuwa wazo la gas kubaki mtwara kwani ikibaki mtwara nini manufaa yake? je? gas ni chakula? hata kama ingekuwa chakula, je watu wa mtwara wangeweza kutumia chakula chote bila ya kukiuza sehemu nyingine zenye uhitaji wa chakula? acheni uzushi wa vitu maana gas ghafi haiwezekani ikasafirishwa hadi Dar bila ya kuchakatwa kwanza hapohapo mtwara harafu ndio linafuata tendo la kuisambaza kwenda kwa watumiaji. suala hapa si kusema hutaki gas itoke mtwara bali ni kutaka kiasi cha mapato yatokanayo na gasi yabaki mtwara.
 
Wananchi wakichoma mali za watu na kuiba ni sahihi ,polisi wakimata na kuwasuluba wanakiuka haki za binadamu wajinga sana ninyi vibaraka

Madikteta wote duniani walioanguka walikuwa na mawazo kama yako ya kinguruwe.
 
Hali sio nzuri ktk usalama wa nchi yetu hasa ndugu zetu wa mtwara sawa wanaweza kuwa wamechoshwa na ahadi zisizotimizwa na kuonekana kama wametengwa na serikali yao.hatukati inawezekana kweli na kwa hali ikiyopo sasa serikali imejifunza kitu.Kilichopo sisi wanaJF tusishabikie vurungu na kushangilia uhalibifu wa mali za wananchi na pia kushangiria vipigo na mauaji pamoja na majureha kwa raia na watanzania wenzetu.Bali tujadili namna gani ya kushauri pande zote mbili yaani serikali na wanamtwara wakae na kuafikiana pia tutoe njia zipi zinafaa kufikia mwafaka sahihi.Shime kwa wana JF tuache kutoa ushabiki na maneno ambayo yatawatia ghazabu wenzetu.Tunaweza na muda tunao
 
Na wewe usiongee kwa kutumia masaburi kwani kuna uhusiano gani kati ya kudai gesi na kuchoma Guest house ya mtu? unajifanya una elimu,! Hakuna watu wanaoleta umwagaji damu dunia kama wajinga nyinyi mnaojifanya mna elimu! Umesomea kila kitu duniani or? elimu isokufaa ni sawa na panga lenye kutu na lisilonolewa F........la wewe!
Hujajibu swali, kwan kuna mahusiano gani kati ya kukamata watuhumiwa na kudokoa mali za raia???Nakupuuza tu mana nadhan napoteza nguvu kumwelewesha mburula/kiazi/kilaza. Sina hulka ya matusi afande, nadhan haya matusi umefundishwa na wazaz wako na ndo mana huon aibu kuyatoa hadharani. Elimu niliyonayo inanikataza kabisa kubishana na watu wasiokuwa na uelewa mzuri, natakiwa nikuelimishe tu kama hutaki naachana na wewe mana hunilipi.
 
Ivi kweli hawa ccm wanajua nguvu ya Umma maana yake ni nini? wanadhani wana magereza ya kutosha kuwaweka watanzania wote wakiamua? je wanajua kuwa hakunaga jela ya fikra popote duniani? je wanajua watanzania wanaangalia na sio mtwara wenyewe? Nadhani hili la gesi ni kipimo cha akili ya kikwete maana anachezea shilingi ndani ya choo natamani na arusha wazuie madini yao kupandishwa ndege, manayara nao wachukue mapato ya utalii wenyewe hapo ndio watajua nguvu ya umma.


Jana si ulimsikia amiri jeshi mkuu wao akiwaambia wasiishie kung'oa meno na kucha tu bali wang'oe na mapembe pia.

Badala ya kutafuta ufumbuzi wa kudumu kwa tatizo lililo mbele yao wao wanaongeza chuki, hasira na uhasama ambao hautaisha leo wala kesho.
 
Geshi rya magyambazi hiro


update:

  • maduka maeneo ya magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za askari magereza na uhalifu ukifanyika vidole vinawaelekea polisi.
  • afisa usalama wa taifa ambaye anamiliki nyumba ya wageni naye amevamiwa na kuporwa mali ikiwamo fedha katika gesti yake. Haijajulikana ni kiasi gani cha mali kilichopotea.
  • mwanafunzi wa chuno afikishwa hospitali ligula na majeraha ya risasi mguuni.

update:

  • mwanamke anayekadiriwa miaka 25 mjamzito auawa kwa kupigwa risasi maiti ipo ligula.


mtwara.jpg
912692_525451360851524_254745933_n.jpg

974992_525452924184701_1654023882_n.jpg

975566_525452350851425_2085978339_n.jpg

975602_525452254184768_555502831_n.jpg

​



source: Mtwarakumekucha.blogspot.com
 
muuza mihadarati ni maama yako, wewe unatumia masaburi ya riz

Hapo ifike mahali pia tujiulize mara mbili mambo yanayotokea siwabezi watu wa mtwara kakini kunauhusiano gani kati ya gesi na daraja?vipi kuhusu mahakama?
 
Ni mpumbavu pekee ndiye anaweza kuunga mkno mada kama ya kipuuzi kama hiii kwa hiyo unafurahia watu wanavyokufa siyo

Ni akili za samako tu ndizo zinaweza kuwabeza Wanantwara,tuache ubabaishaji tunapozungumzia rasilimali za Watanzania,na kama ni deal sasa zimegeuka dirisha
 
Zaidi ya mabasi 4 ya CHAMPION yameondoka jana usiku kupeleka wanajeshi MTWARA kutoka MAKUTOPORA DODOMA kutuliza ghasi.
 
[h=3]HALI BADO NI MBAYA MTWARA....WANAFUNZI WAWILI
WAMETANDIKWA RISASI, MMOJA AMEFARIKI HAPOHAPO[/h]






​

[h=5]Mwandishi wetu aliyepo Mtwara ametueleza kuwa hivi sasa baadhi
ya wananchi wa eneo la magomeni mkoani mtwara wamekimbilia katika Hospitali ya
Mkoa wa Mtwara Lugula wakihofia usalama wao kutokana na
vurugu za kuchomwa kwa nyumba zao pamoja na vibanda vya biashara zilizotokea leo
asubuhi katika eneo hilo..
[/h]
[h=5]Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali
za Askari magereza . Mwanafunzi wa CHUNO amefikishwa hospitali Ligula na
majeraha ya risasi mguuni.[/h]
[h=5]Mwanamke mwingine anayekadiriwa kuwa na
miaka 25 mjamzito ameuawa kwa kupigwa risasi maiti ipo
Ligula.
[/h]
mtwara.jpg


912692_525451360851524_254745933_n.jpg



974992_525452924184701_1654023882_n.jpg



975566_525452350851425_2085978339_n.jpg



975602_525452254184768_555502831_n.jpg


[h=5]Kwa sasa( jioni hii) inaelezwa kuwa katika baadhi ya mitaa
hali imetulia na ni idadi ndogo ya wananchi ndiyo inayoonekana wakitembea
mitaani isipokua eneo la magomeni ambako mbomu yanaendelea kusikika huku huduma
za kijamii katika mji huo zikiwa zimesimama zikiwemo usafiri, huduma za kibenki
na shule[/h]


 
Ivi kweli hawa ccm wanajua nguvu ya Umma maana yake ni nini? wanadhani wana magereza ya kutosha kuwaweka watanzania wote wakiamua? je wanajua kuwa hakunaga jela ya fikra popote duniani? je wanajua watanzania wanaangalia na sio mtwara wenyewe? Nadhani hili la gesi ni kipimo cha akili ya kikwete maana anachezea shilingi ndani ya choo natamani na arusha wazuie madini yao kupandishwa ndege, manayara nao wachukue mapato ya utalii wenyewe hapo ndio watajua nguvu ya umma.
ikifikia hapo,itatangazwa hali ya hatari,hakuna cha siasa,maandamano wala uchaguzi,nchi itatawaliwa kwa taratibu za nchi iliyo vitani.
 
Hapo ifike mahali pia tujiulize mara mbili mambo yanayotokea siwabezi watu wa mtwara kakini kunauhusiano gani kati ya gesi na daraja?vipi kuhusu mahakama?

We uwajui watanzania. Jiulize pia kulikuwa na uhusiano gani mwaka 2010 kwenye uchaguzi mkuu sehemu ambazo wapinzani walishinda au kuelekea kushinda matokeo kutangazwa kwa mbinde na pengine ghasia kutokea?. Acha viswali vyako vya kipuuzi. Jibu kwanza hilo.
 
Jeshi halina usafiri? make hela ya kukodisha itakayoandikwa ingejenga zahanati na shule kadhaa.
Aither, hayo mabasi yatafanya wananchi wakose usafiri.
 
Tunashukru kwa wananchi wa mtwara lakini wangefanya maandamano ya amani na siyo kuharibu mali za watu kwan4 nikosa mbele ya Mungu na hata binadamu pia.cha msingi tumuombe MUNGU wana mtwara atupe moyo wa subira na siyo kusababisha machafuko ndani ya nchi yenye aman na tulivu Tanzania,kwani vitu vyote ni Mali ya MUNGU,tumrudie Mungu wapendwa atuepushe na hili janga kama alivyo wavusha israel ktk bahari ya shamu na jangwani pia.
 
unapenda wenzako waendelee kufa mkuu? washauri wakaze buti kufanya kazi,serikali sikivu ishawapuuzia toka mwanzo mwa vurugu hizi mpaka sasa,usishangae jeshi likajenga kambi kabisa huko,

japo kuna mda unashindwa hata usimame upande upi kwa haya yanayotokea,ila historia inajieleza,hapa dar wamachinga walipingwa virungu toka enzi za makamba,leo neema imehamia kwao ili wasije dar ila serikali imegeuza kuwa laana kwao,kwani serikali ikijenga kiwanda pale itapoteza nini?

Serikali haiwezi kujenga kiwanda pale kwa sababu
1. watapata ajira wamachinga badala ya wakwere
2. Mtwara ni mbali kwa bwana mkubwa kufuatilia hisa zake
3. Mkataba ulio wekwa kati ya wenye nchi hii wanaonufaika na rasilimali za taifa unataka kiwanda kijenwe Bagamoyo na wala si kungineko

mengine wataongezea wenzangu:disapointed:
 
Surely, was this really any necessary a step toward killing PUBLIC GOOD and defending President Kikwete and CCM's PRIVATE SELFISH AGENDA in the secret gas contract against the will of the citizenry or only a litle dose of the POWER OF WISDOM AND GOOD LEADERSHIP was called for here?????????

Zaidi ya mabasi 4 ya CHAMPION yameondoka jana usiku kupeleka wanajeshi MTWARA kutoka MAKUTOPORA DODOMA kutuliza ghasi.
 
Habari nilizozipata joini hii ni kwamba, Jwtz wameongezwa zaidi huko mtwara.

Nia ni kupiga kambi hapo mtwara hadi bomba la gesi lijengwe.

My take..
Liwake,inyeshe inavyoonekana lazima bomba lijengwe kwa gharama yoyote ile.!!
 
Back
Top Bottom