Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Tafsiri ni kwamba Mk.w.ere yuko tayari kuuwa watu ili mradi matakwa yake yatimie. Kama ni hivyo, Rais akili yake itakuwa ndogo sana na nitamfananisha na msemo wetu wa 'sikio la kufa...' Namuonya Rais kuwa asome katiba vizuri na afahamu kuwa wananchi ndio mamlaka kuu kupita cheo chake na hiyo asidhani kuwa kwa yeye kujifanya 'mbuni' anashinda dhahma hii. Kwa mamlaka aliyokuwa nayo sasa, anayo nafasi kubwa kurekebisha mambo, au kwa kurudisha chenji ya jamaa, au mwanae aendelee na kutekelezewa hukumu stahiki au kuzungumza name jamaa zake namna njema ya kutuibia bila madhara, ili mradi aepushe Shari.

Kama atashindwa kufanya haya, muda hautamtosha na wala hatakuwa na nafasi ya kuomba msamaha muda ukifika sisi wananchi tuliompa kazi ya kulinda katiba yetu tukiamuwa kumpa kibano. Hao anaotaka kushirikiana nao kutuibia hawatakuwa na msaada naye, kwanza ndio utasikia, 'he was a tyrant' Afahamu, sasa wananchi tumeamuwa, hakuna cha kutuzuia, iwe kwa mabomu, au makobora au nguvu ya atomiki.

Namtakia mila la heri katika kuuwa wananchi. Pia the Hague asisahau bad IPO, name Ina nguvu kuliko wakati wowote ule.

Nawasilisha
 
There are currently 2724 users browsing this thread. (243 members and 2481 guests)

Hivi kwanini Kikwete haendi mtwara kuwatuliza wananchi?
 
Wananchi wakichoma mali za watu na kuiba ni sahihi ,polisi wakimata na kuwasuluba wanakiuka haki za binadamu wajinga sana ninyi vibaraka
 
Gamba walisema hamna fujo, sasa hizi picha nazo watazikana!
 
kama tumefika hatua kwamba kikundi cha vijana wa chama kimoja kuchoma ofisi za chama kingine tunakokeanda siko kuzuri maamuzi ya haraka lazima yachukuliwe.
Hapa sidhani kama kuna chama chochote kinahusika, hapa kilichopo ni wananchi wa Mtwara dhidi ya serikali ya CCM inayotaka kudhurumu rasilimali yao (Gesi) na ndo maana wanasema Gesi kwanza Maisha(Uhai) Baadae
 
Sasa kukamata wanaume wote na kuwasweka ndani manake nini si nikuzidisha mgogoro kama watu wako ndani ya nyumba zao kwa nini kuwavunjia nyumba zao
sikio la kufa halisikii dawa na hii ndio serikali yetu
 
serikali hata ikafunga wana mtwara wote wale waliobaki wataendeleza libeneka ni bora wakutane wakae meza moja wawaeleweshe wananchi ni kwa nini gesi iende kulisha bandari ya bagamoyo
 
Hapa sidhani kama kuna chama chochote kinahusika, hapa kilichopo ni wananchi wa Mtwara dhidi ya serikali ya CCM inayotaka kudhurumu rasilimali yao (Gesi) na ndo maana wanasema Gesi kwanza Maisha(Uhai) Baadae

CCM inausika pamoja na serekali yake sikivu.
 
Serikali ipunguze jazba na ikae ichinguze nini suruhisho la mtwara.
Risasi na mabom hayato leta mabadiriko tofauti na kuongeza uchungu kwa wananchi.
Mungu ibariki Tanzania.
 
CDM manasubilini hau ndio aliyo yaongea zito .sasa walioanzisha na kuchochea fujo mm nahuakika hawapo na kubwa zaidi ni kambi ya upizani ndio ili yo sababisha haya yote sasa lengo lime timia .ok tatumaini kama kawaida yenu mtamtuma yule jamaa wenu wa kulopoka awalaumu polisi wakati raia walianza kuchoma moto toka jana CDM MTATUMALIZA
 
Wananchi wakichoma mali za watu na kuiba ni sahihi ,polisi wakimata na kuwasuluba wanakiuka haki za binadamu wajinga sana ninyi vibaraka
Angalia na chunguza chanzo cha vurugu sio unakimbilia kuandika upuuzi, wewe ndo utakuwa mjinga kabisa na kibaraka wa hao walioyasababisha haya yote bila kumsahau aliyewafananisha wananchi wa Mtwara na VYURA
 
c) Kuhusu msimamo wa wananchi wa mikoa ya kusini wanaotaka gesi ilinufaishe Taifa ikiwa palepale Mtwara; Katika kutengeneza uchumi mpana wa nchi, mimi naamini katika uchumi shirikishi utakaoleta maendeleo shirikishi(Inclusive Development). Katika uchumi shirikishi, lazima rasilimali za nchi zijengewe utaratibu wa kulinufaisha taifa zikiwa palepale zilipo. Kama tunataka umeme wa gesi, na tupeleke msongo mkubwa wa umeme tuunganishe mikoa ya kusini na gridi ya taifa kwa kutumia umeme wa gesi. Mtwara na Lindi yawe maeneo makubwa ya kiviwanda na yawe makao makuu ya gesi na utajiri wake. Mimi nahoji kwa nini tulete kila rasilimali Dar Es Salaam wakati tayari jiji lenyewe halina uwezo wa kuhimili watu wengi kutokana na miundombinu mibovu na dhaifu? Ni lini mikoa ya kusini itaendelea ikiwa kila kinachovumbuliwa huko kinaondolewa? Gesi ya Songosongo –Lindi ililetwa DSM, Mbona CCM na serikali yake wanataka na hii ya msimbati -Mtwara ije DSM?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu ni sheria gani unaifanyia
reference hapa ambayo wanamtwara wanapashwa kutii? WanaMtwara
wanalazimishwa kufuata na kukubali matakwa ya watu wachache ambao tayari
wametia ndani 10% na kuficha hizo pesa Uswizi. Hao wenye mamlaka
wangetumia busara kwani wangeanza kutoa elimu kwa wanamtwara na
kuwashirikisha kwenye miapngo tangu mwanzo. Risasi hazitasaidia sana
kutatua mgogoor huu, zaidi zaidi zitasaidia kuuzima kwa muda tu!!!!

Tiba

10%!? una ushahidi? acha uchochezi, wapigwe risasi tu!
 
Back
Top Bottom