Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

Yaani mtu ataelewa situation ya Mtwara tu ikiwa ametokea eneo lenye neema ya natural resource lakini ameona familia yao, ndugu na marafiki wakifa masikini. Inauma sana. Hivi mbona hata migodi yote lazima waweke commitment ya kuajiri hata 20% ya wazawa.

Hapa tu ni serikali kutumia busara - uongozi na maamuzi ya kiimla hayafai.
 
  • Mabasi 5 ya Champion yamebeba Wanajeshi yako njiani yanakuja.
  • Serikali yatoa tamko yasema watu 91 wanashikiliwa.
  • Bunge laahirishwa tena. Kupisha uchunguzi na kuepusha uchochezi kutoka kwa baadhi ya wabunge. (Kwa mujibu wa Spika)
  • Maeneo ya Magomeni, Chikongola, Nkanaledi, Mikindani maaskari wanaingia majumbani mwa watu na kumsomba mtu yeyote ambaye ni mwanaume awe amehusika awe hajahusika na kumkamata. Pia inaripotiwa na uhalifu unafanywa na maaskari hao hao. Jambo linaloamsha hisia kwa wananchi.
  • RPC anaongea na vyombo vya habari na kuwasihi wananchi waende makazini. Lakini kiuhalisia hali sio shwari.
  • Mahakama ya mwanzo ya Mitengo imechomwa moto
  • Mpaka sasa ni vita baina ya wananchi na maaskari. Mabomu yamesikika pamoja na milio ya risasi masaa 24. Na milio ya Risasi na mabomu inaendelea kusikika.
  • Raia wapatao 7 wameripotiwa kufariki (wengine walipelekwa hospitali ya Ndanda Ndogo na mmoja ameripotiwa kupokelewa Ligula.

  • Nyumba za viongozi zinaendelea kuchomwa moto.

  • Majibizano baina ya Polisi na Raia yanaendelea maeneo ya Magomeni, Nkanaledi na Mikindani.

  • Maduka yamefungwa na hakuna huduma zozote

  • Barabara zimewekwa vizuizi magogo na matairi yamechomwa moto. Hakuna njia ya kupita.

Update: Mabomu yametulia. Hali ya ukimya imetawala.

Update:

  • Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za Askari magereza na uhalifu ukifanyika vidole vinawaelekea Polisi.
  • Afisa Usalama wa Taifa ambaye anamiliki nyumba ya wageni naye amevamiwa na kuporwa mali ikiwamo fedha katika gesti yake. Haijajulikana ni kiasi gani cha mali kilichopotea.
  • Mwanafunzi wa CHUNO afikishwa hospitali Ligula na majeraha ya risasi mguuni.

Update:

  • Mwanamke anayekadiriwa miaka 25 mjamzito auawa kwa kupigwa risasi maiti ipo Ligula.

Source|:MTWARA KUMEKUCHA

Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
 
KWANINI CCM WANADHALAU HILI LAKINIIIIIIIII (ona wapo hapa tuu kwenda mtwara hawataki)

There are currently 1679 users browsing this thread. (220 members and 1459 guests)
frema 120,
William Mshumbusi,
msukwaa,
SaidAlly,
7son,
sina-ajira,
sevelina,
Wamba Dear Wamba,
kamoxi5,
Kimagege,
Majita,
Kurunzi,
MATUNGWA JM,
Theodora,
kiwatengu,
G Sam,
Inkoskaz,
mianzini,
Ronal Reagan,
chicco,
Jichola3,
GOLOKO,
yakowazi,
Will i.a.m,
tototundu,
Mwalu,
andate,
bato,
RWETAKA KACHUBO,
Wisdom,
KIBE,
mpigadomo,
Teacher1,
Wamegeho,
Ford mkagulu,
mimisa,
kidadari,
Sanja,
ObiElinami,
stephot,
MZEE WA TEMBO,
Kyenju,
Magesi,
Django,
JUKWE,
sawa,
Bukanga,
MAZAO,
Ally Kombo,
AirTanzania,
Kakuru,
UTENDE,
kimwelage,
twiseghe,
Meru Moja,
Mwakajila kennedy,
king Chuga,
Lwesye,
Frank Joseph,
JACKSON WAMBURA,
Elia,
Msimihi,
nkowosi,
Mbassa,
Mzee Mwanakijiji,
mwana wa mama,
Lubaluka,
Rumishaeli,
luniz,
ndamuro,
hoffman,
Mlosi K. Mtulutumbi,
Domhome,
UPIU,
Maswi,
Elizabeth Dominic,
artorius,
Criss,
lwakaja,
Bweri,
McJO-CHINAKA,
Remote,
ras mkweli,
kitabagala,
miminho,
ISOPOWER,
nchasi,
Twilumba,
jonta,
Rodgers,
JONAS HERMAN,
Bemalover,
PPM,
gallaxy,
NO EXCUSE,
Mwita toye,
kakolo,
mfarisayo,
Caroline Danzi,
Kyaiyembe,
Manundu,
Quadrat Jr,
shalet,
Wikiliki,
VOICE OF MTWARA,
BEDO NYALUTOGO,
busar,
danirous,
Hanipha Musri,
NJELA HELA,
NGUVUMOJA,
Ta Muganyizi,
chishango,
vegas,
Joshamto,
washwa washwa,
Ibra Mo,
Ericus Kimasha,
mlandali honoli,
Ngalangala,
Kipoporu,
Maguguniga,
kangalo,
erick cantona,
Birdman,
Godwinnko,
salmar,
Hiroshima,
mangunde,
Keben,
HABANAHABA,
Umkondo wa Swize,
Karikari,
bhageshi,
N-handsome,
black and white,
Kibanga Ampiga Mkoloni,
masopakyindi,
Precise pangolin,
ndio walewale,
majonzi,
IKINGO,
Mzee Wa Sumu,
JPM605,
sajosojo,
rayun,
TOFU,
GreenCity,
S2dak_Jr,
nziriye,
Salary Slip,
Eddie8,
togetherness,
ngoshaboy,
MMAHE,
Bukutonaga,
Ngoso,
Ngaywembe,
NGANU,
SASATELE,
Mzawa Halisi,
rushanju,
APMS,
kichwat,
Lyceum,
Chamchana,
MADARAKA DANIEL,
Joseph Isaack,
acheche,
AlP0L0,
jrutta,
SILENT GUNNER,
Kashindye J.J,
Ndinimbya,
Kambaku,
Kinyengeli,
Shomari,
Mozila,
TWIME,
mchakachuaji192,
rumara,
Maega,
HEKIMANIUHURU,
ba nso,
MORIA,
Kitoabu,
MVUMBUZI,
Msarendo,
GEOMO,
Mr.mzumbe,
Fungo N.,
Frank Sojo,
Sugar Junior,
buzz,
Bhbm,
GOMA,
Mlengo wa Kati,
kelao,
Fredwash,
Menapitatu,
ak47dar,
Boga,
Mphamvu,
MAYOO,
m 23,
mzulumanga,
REMSA,
MUAMMAR,
Adolph,
vutakamba,
MKURABITA,
Asamwa,
spartacus,
Ng`wanakidiku,
godymwiru,
sugi,
sem2708,
mjiti
 
hakuna uhuru wa vyombo vya habari.....hali ya mtwara haikuwa shwari lakini vyombo vyetu vya habari....havikuonyesha chochote...

KAKA huenda walichimbwa mkwara kuonyesha na kutangaza hali ilivyokuwa, watu jana wamekodolea macho TV kusubiri yaliyojiri mtwara mwisho wa siku tulivyo viona na kusikia kwenye TV tofauti na tulivyokuwa tunahabarishana hapa JF
 
Yaani mtu ataelewa situation ya Mtwara tu ikiwa ametokea eneo lenye neema ya natural resource lakini ameona familia yao, ndugu na marafiki wakifa masikini. Inauma sana. Hivi mbona hata migodi yote lazima waweke commitment ya kuajiri hata 20% ya wazawa.

Hapa tu ni serikali kutumia busara - uongozi na maamuzi ya kiimla hayafai.

Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
 
Mambo yanayotokea Mtwara sasa hivi ni udhirisho kuwa jamii ya watanzania walionyanyaswa kwa muda mrefu na utawala dhalimu wa CCM, wamechoka na hawako tiyari tena kuendelea kuvumilia. Zamani hotuba za bunge la bajeti zilikuwa hazifuatiliwi sana na wananchi wa kawaida, lakini sasa mambo siyo hivo tena. Wananchi wa Mtwara walifuatilia hotuba ya bajeti ya nishati na madini bungeni na kuona kuwa hawatanufaika na gesi iliyoko mtwara na kuanzisha mashambulizi ya kujikomboa.
 
KWANINI CCM WANADHALAU HILI LAKINIIIIIIIII (ona wapo hapa tuu kwenda mtwara hawataki)

There are currently 1679 users browsing this thread. (220 members and 1459 guests)
frema 120,
William Mshumbusi,
msukwaa,
SaidAlly,
7son,
sina-ajira,
sevelina,
Wamba Dear Wamba,
kamoxi5,
Kimagege,
Majita,
Kurunzi,
MATUNGWA JM,
Theodora,
kiwatengu,
G Sam,
Inkoskaz,
mianzini,
Ronal Reagan,
chicco,
Jichola3,
GOLOKO,
yakowazi,
Will i.a.m,
tototundu,
Mwalu,
andate,
bato,
RWETAKA KACHUBO,
Wisdom,
KIBE,
mpigadomo,
Teacher1,
Wamegeho,
Ford mkagulu,
mimisa,
kidadari,
Sanja,
ObiElinami,
stephot,
MZEE WA TEMBO,
Kyenju,
Magesi,
Django,
JUKWE,
sawa,
Bukanga,
MAZAO,
Ally Kombo,
AirTanzania,
Kakuru,
UTENDE,
kimwelage,
twiseghe,
Meru Moja,
Mwakajila kennedy,
king Chuga,
Lwesye,
Frank Joseph,
JACKSON WAMBURA,
Elia,
Msimihi,
nkowosi,
Mbassa,
Mzee Mwanakijiji,
mwana wa mama,
Lubaluka,
Rumishaeli,
luniz,
ndamuro,
hoffman,
Mlosi K. Mtulutumbi,
Domhome,
UPIU,
Maswi,
Elizabeth Dominic,
artorius,
Criss,
lwakaja,
Bweri,
McJO-CHINAKA,
Remote,
ras mkweli,
kitabagala,
miminho,
ISOPOWER,
nchasi,
Twilumba,
jonta,
Rodgers,
JONAS HERMAN,
Bemalover,
PPM,
gallaxy,
NO EXCUSE,
Mwita toye,
kakolo,
mfarisayo,
Caroline Danzi,
Kyaiyembe,
Manundu,
Quadrat Jr,
shalet,
Wikiliki,
VOICE OF MTWARA,
BEDO NYALUTOGO,
busar,
danirous,
Hanipha Musri,
NJELA HELA,
NGUVUMOJA,
Ta Muganyizi,
chishango,
vegas,
Joshamto,
washwa washwa,
Ibra Mo,
Ericus Kimasha,
mlandali honoli,
Ngalangala,
Kipoporu,
Maguguniga,
kangalo,
erick cantona,
Birdman,
Godwinnko,
salmar,
Hiroshima,
mangunde,
Keben,
HABANAHABA,
Umkondo wa Swize,
Karikari,
bhageshi,
N-handsome,
black and white,
Kibanga Ampiga Mkoloni,
masopakyindi,
Precise pangolin,
ndio walewale,
majonzi,
IKINGO,
Mzee Wa Sumu,
JPM605,
sajosojo,
rayun,
TOFU,
GreenCity,
S2dak_Jr,
nziriye,
Salary Slip,
Eddie8,
togetherness,
ngoshaboy,
MMAHE,
Bukutonaga,
Ngoso,
Ngaywembe,
NGANU,
SASATELE,
Mzawa Halisi,
rushanju,
APMS,
kichwat,
Lyceum,
Chamchana,
MADARAKA DANIEL,
Joseph Isaack,
acheche,
AlP0L0,
jrutta,
SILENT GUNNER,
Kashindye J.J,
Ndinimbya,
Kambaku,
Kinyengeli,
Shomari,
Mozila,
TWIME,
mchakachuaji192,
rumara,
Maega,
HEKIMANIUHURU,
ba nso,
MORIA,
Kitoabu,
MVUMBUZI,
Msarendo,
GEOMO,
Mr.mzumbe,
Fungo N.,
Frank Sojo,
Sugar Junior,
buzz,
Bhbm,
GOMA,
Mlengo wa Kati,
kelao,
Fredwash,
Menapitatu,
ak47dar,
Boga,
Mphamvu,
MAYOO,
m 23,
mzulumanga,
REMSA,
MUAMMAR,
Adolph,
vutakamba,
MKURABITA,
Asamwa,
spartacus,
Ng`wanakidiku,
godymwiru,
sugi,
sem2708,
mjiti

Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
 
busara zipi alizonazo dr wako huyo w. Slaa??????

Hata kama ningekuwa mm ni mkuu wa nchi siwezi kubali wajinga wachache waiharibu nchi....tena nataman hao wananchi waamishwe mtwara waende wakakae mko mwingine........

Nchi hii ni ya wote urithi tuliopewa na mungu ni kwa ajili ya watanzania wote.....

Achen siasa isiyokuwa na shule.....nani kasema kuchukua madaraka ni mpaka uchonganishe wananchi????

kama nchi ya wote basi itunufaishe wote sio pesa zinazotokana na mali asili zinawanufaishe nyinyi tu na chama chenu pamoja na familia zenu angalia kilichowakuta wana mwanza wanakula mifupa minofu inaenda ulaya mpaka mzungu kaona maajabu katunga na filamu mkaanza kumdai ile filamu kama mnajua ni halali filamu mlikua hamtaki iingie sokoni kwa nini natural resource ziwanufaishe wazawa kwa kuonekana sio porojo zenu watu wamechoka hapao hakuna uchama bali ni kujitambua na hiyo ni vita haizimwi siku moja hata bomba likijengwa litahujumiwa tu lazima mambo yote yaishe kwenye meza ya majadiliano huo ni mwanza tz yote itaamka sasa hvi
 
  • Mabasi 5 ya Champion yamebeba Wanajeshi yako njiani yanakuja.
  • Serikali yatoa tamko yasema watu 91 wanashikiliwa.
  • Bunge laahirishwa tena. Kupisha uchunguzi na kuepusha uchochezi kutoka kwa baadhi ya wabunge. (Kwa mujibu wa Spika)
  • Maeneo ya Magomeni, Chikongola, Nkanaledi, Mikindani maaskari wanaingia majumbani mwa watu na kumsomba mtu yeyote ambaye ni mwanaume awe amehusika awe hajahusika na kumkamata. Pia inaripotiwa na uhalifu unafanywa na maaskari hao hao. Jambo linaloamsha hisia kwa wananchi.
  • RPC anaongea na vyombo vya habari na kuwasihi wananchi waende makazini. Lakini kiuhalisia hali sio shwari.
  • Mahakama ya mwanzo ya Mitengo imechomwa moto
  • Mpaka sasa ni vita baina ya wananchi na maaskari. Mabomu yamesikika pamoja na milio ya risasi masaa 24. Na milio ya Risasi na mabomu inaendelea kusikika.
  • Raia wapatao 7 wameripotiwa kufariki (wengine walipelekwa hospitali ya Ndanda Ndogo na mmoja ameripotiwa kupokelewa Ligula.

  • Nyumba za viongozi zinaendelea kuchomwa moto.

  • Majibizano baina ya Polisi na Raia yanaendelea maeneo ya Magomeni, Nkanaledi na Mikindani.

  • Maduka yamefungwa na hakuna huduma zozote

  • Barabara zimewekwa vizuizi magogo na matairi yamechomwa moto. Hakuna njia ya kupita.

Update: Mabomu yametulia. Hali ya ukimya imetawala.

Update:

  • Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za Askari magereza na uhalifu ukifanyika vidole vinawaelekea Polisi.
  • Afisa Usalama wa Taifa ambaye anamiliki nyumba ya wageni naye amevamiwa na kuporwa mali ikiwamo fedha katika gesti yake. Haijajulikana ni kiasi gani cha mali kilichopotea.
  • Mwanafunzi wa CHUNO afikishwa hospitali Ligula na majeraha ya risasi mguuni.

Update:

  • Mwanamke anayekadiriwa miaka 25 mjamzito auawa kwa kupigwa risasi maiti ipo Ligula.

Source|:MTWARA KUMEKUCHA
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
 
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.

Mkubwa, Habari hizi zinauhakika? mbona itakuwa issue kumbwa hawa watu hawachelewi kuzusha, angalia msije kutengenezea watu zengwe
 
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.

Tatizo la ccm,kila jambo anaona chadema ndo mchawi...nakuahidi libya soon
 
KAKA huenda walichimbwa mkwara kuonyesha na kutangaza hali ilivyokuwa, watu jana wamekodolea macho TV kusubiri yaliyojiri mtwara mwisho wa siku tulivyo viona na kusikia kwenye TV tofauti na tulivyokuwa tunahabarishana hapa JF

Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
 
Tatizo la ccm,kila jambo anaona chadema ndo mchawi...nakuahidi libya soon

Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.
 
Mbona umeme wa songas bado bei juu au unafikir serikal ndo itauzalisha huo umeme , au kupenda maendeleo ni kuendeleza kinyerezi ila kuendeleza mtwara si maendeleo. Myopic mind

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Habari kutoka mkoani Mtwara nilizozipata hivi punde, zinasema wanawake na watoto wamebaki na vilio na majonzi baada ya mali kuporwa na polisi, kupigwa na kunyanyaswa na Askari lakini pia vijana wao wengi kukamatwa na polisi na baadhi kukimbilia mahali pasipo julikana.

Wanawake hao ambao wengi wao ni wanachama wa CCM pamoja na kuonyesha kadi zao za CCM ili wapate huruma kutoka kwa Polisi na wanajeshi wa JWTZ bado haikusaidia kitu kwani wameendelea kupata kipigo na kudharirishwa huku wakishinikizwa kueleza ni wapi wanaume wamejificha.

Wengi wao wameapa kuwa hawatajaribu tena kuiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wowote katika ngazi yoyote, huku wakidai rais Kikwete amewatupa mkono kabisa lakini pia mkuu wa Mkoa wa Mtwara Joseph Simbakalia kwa sasa ni Adui yao mkubwa.

Mwisho wameonyesha kushangazwa na wabunge wa CCM kutoka Mtwara hususani wanawake kwa namna walivyokaa kimya bila kuwasaidia chochote.

MY TAKE
CCM sisi wenyewe tunaifanya Mtwara kuwa ngome kuu ya Upinzani katika ukanda wa kusini. Busara na hekima zinahitajika kutumika sasa kuibakisha Mtwara chini ya CCM.
watu waache kulinda usalama eti kwa kuhofia kuwa mtwara itakuwa ngome ya upinzani?.

Kwani wewe si chadema,mimi nilidhani hiyo hali ndo unataka iwe.au wewe hupendi mtwara iwe ngome ya chadema?.
 
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.

Wewe una akili timamu kwelI? Watu wanazuia uchochezi then wewe ndo unaleta ----- wako! Hacha uchochezi wa kijinga
 
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.

Wewe unasumbuliwa na book 7. Hapa Chadema inatoka wapi? Utumbo mtupu!!!!! Yaani siku hizi mmepata kisingizio, hata mkeo akitoka nje ya ndoa utasema ni Chadema!!!!!

Tiba
 
Hatuna rais Tanzania; ila binafsi najua sikumpigia kura; wakulaumiwa ni wale waliopiga kura ya ndio kwa kufurahia sura.
Ni rais wa tume ya uchaguzi na usalama wa taifa. Hakupata ridhaa ya watanzania kushika huo wadhifa.
 
Taarifa kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa mtwara zinasema, wanaoendesha zoezi la uchomaji wa ofisi za CCM, nyumba za Mawaziri na taasisi za serikali ni kikundi maalum cha vijana wa CHADEMA na ambacho kinaratibiwa na kiongozi mmoj wa CDM ambaye anatokea mikoa ya nyanda za juu kusini. Swali ni je vijana wa CCM wakiamua kujibu mapigo kwa kusaka ofisi za CDM kweli Mtwara kutakalika? Inasemekana CDM viongozi wa CDM katika mji wa Mtwara wameelekezwa kufunga ofisi zao na kuzipa ulinzi wakati vijana wao wanapotekeleza uchomaji wa ofisi za CCM na taasisi za serikali.

Wito kwa serikali: Ichukue hatua za haraka kwani endapo CCM nao wakiamua kujibu kwa kuchoma ofisi za CDM hakika Mtwara hakutakalika na inawezekana kabisa vurugu hizo zikasambaa hata katika mikoa ya jirani.

jichola3 Hizo ni propaganda za CCM katika hali ya kujisafisha kisiasa, watu wa mtwara hakuna aliyewashawishi lakini leo hii munasema Chadema ndio wanachoma moto majengo ya serikali na ccm jamani CCM mutajifunza lini kusema ukweli unajua hizi porojo na uongo wenu ndio umesababisha mtwara yametokea haya tunayoyaona leo
 
Mambo yanayotokea Mtwara sasa hivi ni udhirisho kuwa jamii ya watanzania walionyanyaswa kwa muda mrefu na utawala dhalimu wa CCM, wamechoka na hawako tiyari tena kuendelea kuvumilia. Zamani hotuba za bunge la bajeti zilikuwa hazifuatiliwi sana na wananchi wa kawaida, lakini sasa mambo siyo hivo tena. Wananchi wa Mtwara walifuatilia hotuba ya bajeti ya nishati na madini bungeni na kuona kuwa hawatanufaika na gesi iliyoko mtwara na kuanzisha mashambulizi ya kujikomboa.

pole inavyoonekana upo kwenye hilo kundi la wanaofanya hizo vurugu.kwa aina ya maneno unayoongea hatuwezi kukutenga na hao wanaofanya fujo.
 
Back
Top Bottom