Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
sasa we unafikili hayo MAGAMBA kuna mtu anayafagilia?????. Kama mi ni zama za Kaseja itakuwa wewe zama zako bado, kakue kwanza.
Yanga ipo tangu miaka ya 1930 hao magamba yameanzishwa 1977,nakushangaa unapiga kelele wakati hujui unachokiongea
 
hongera zenu.. hapa azam tusipojipanga tutajikuta tunaangaikia nafasi ya tatu..
 
sawa ligi bado mbichi ila idadi ya magoli ndio inayopelekea kusema kipofu kaona mwezi. Hongereni!
Kama sisi vipofu,hao wanaoona mpaka sasa ushindi wao mnono ni wa goli ngapi?huyu coastal mwenyewe mlimpiga kamoja kakichooovu....anyway tunasubiri kushuka daraja kama wengi walivyotabiri!
 
Hapana mkuu.....Yanga kuna mechi walishinda 3-2......Ni magoli mengi haya......Simba mechi waliyofunga magoli mengi ni ile waliyotoka sare ya 3-3 na Toto Africans na mpaka sasa Yanga wana magoli mengi ya kufunga(12) ukilinganisha na Simba(10)
Tell him!
 
Wanajangwani hongereni lakini msijisifu sana, wachezaji watano wa kikosi cha kwanza wa Coastal wametorokea uarabuni kucheza ligi ya mafuta, hivyo huenda ni sababu iliyofanya wapigwe goli nyingi kiasi hicho.
 
Hahahahah
Mkuu tungefungwa au kupata sare haya usingesema
Kubali tu tumemsaga mtu leo MKONO MZIMA
 
Kama sisi vipofu,hao wanaoona mpaka sasa ushindi wao mnono ni wa goli ngapi?huyu coastal mwenyewe mlimpiga kamoja kakichooovu....anyway tunasubiri kushuka daraja kama wengi walivyotabiri!
Waambie hao,kijiba cha roho watu wa pwani wanasema.
 
Jkt oljoro 1 : Moro 0
coastal union 5 : Villa 0
afican lyon 0: Kagera sugar 1
 
mechi za leo tarehe 08-10-2011 ni:

coastal union 6
: Villa 1
jkt oljoro 1 : Moro 0
afican lyon 0: Kagera sugar 1
jkt oljoro wanaongoza ligi kwa kufikisha pointi 19 wakifatiwa na simba mwenye pointi 18

natamani jkt oljoro ichukue kombee!
 
Back
Top Bottom