PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 445
a.k.a Simba B
Acha kukalili.
a.k.a Simba B
Hata mwaka jana ilikuwa hivihivi na mwishoni bingwa alijulikana....Leo kipofu kaona mwezi!!!!!
Asante mtani......Inaweza ikawa comeback kama ya msimu ulioisha mkuu...
Hata mwaka jana ilikuwa hivihivi na mwishoni bingwa alijulikana....
Mkuu hilo mbona linajulikana dhahiri kwamba Coastal Union a.k.a Wagosi wa kaya wana uswahiba na Simba kama ilivyokuwa uswahiba wa Yanga na African Sports 'wanakimanumanu' ama Toto Africans 'wanakishamapanda'Acha kukalili.
Inaweza kujirudia mwaka huu mkuu maana Simba mmekuwa mkipata ushindi mwembamba wa goli 1 ama 2-1 ambao unaweza kuwagharimu mbeleni....Pia sare za kanda ya ziwa hasa ile ya 3-3 na Toto AfricansAhaaa, usinikumbushe machungu kiongozi: ubingwa wa kuzidiana gori moja!!!! Ilikuwa balaaa.
Ni kweli bado mbichi ndo maana nawashangaa mnaosema kipofu kaona mwezi.....lolligi bado mbichi kiongozi.
Inaonekana umeanza kushangilia Simba zama za Kaseja weweAcha kukalili.
Ni kweli bado mbichi ndo maana nawashangaa mnaosema kipofu kaona mwezi.....lol
Inaonekana umeanza kushangilia Simba zama za Kaseja wewe
Yaani hata siwaelewi au bifu lao na simba halijaisha....lolHao costal vp hawajapewa mbina na simba?
Hapana mkuu.....Yanga kuna mechi walishinda 3-2......Ni magoli mengi haya......Simba mechi waliyofunga magoli mengi ni ile waliyotoka sare ya 3-3 na Toto Africans na mpaka sasa Yanga wana magoli mengi ya kufunga(12) ukilinganisha na Simba(10)sawa ligi bado mbichi ila idadi ya magoli ndio inayopelekea kusema kipofu kaona mwezi. Hongereni!
Taratibu mtani..........Michezo si uadui zaidi ya utani...sasa we unafikili hayo MAGAMBA kuna mtu anayafagilia?????. Kama mi ni zama za Kaseja itakuwa wewe zama zako bado, kakue kwanza.
Inaweza kujirudia mwaka huu mkuu maana Simba mmekuwa mkipata ushindi mwembamba wa goli 1 ama 2-1 ambao unaweza kuwagharimu mbeleni....Pia sare za kanda ya ziwa hasa ile ya 3-3 na Toto Africans