Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Hivyo basi Yanga anafikisha point 46, magoli 29 ya kufunga na 7 ya kufungwa, goal difference = 22
Simba nae ana point 46, magoli 36 ya kufunga, 16 ya kufungwa, goal difference = 20
 
Mkuu
Ngoja nikusahihishe

Kabla ya mechi za jana na leo za Simba vs JKT na Yanga vs A.Lyon
Yanga wamefunga magoli 26 na kufungwa 6
Simba kafunga 35 kafungwa 15

Na kanuni zipo hivi
Kama timu zikifungana point basi kwanza kabisa itaangaliwa goal difference. Zikifanana basi itafuata ni sheria ya nani ana matokeo mazuri baina ya hizo timu mbili zilipocheza. Baada ya hapo then ndio wanaangalia nani ana magoli mengi ya kufunga

Mkuu....Hayo maelezo niliyoyatoa hapo juu sio yangu,ni kwa mujibu wa Afisa habari wa TFF Boniface Wambura ambaye alikuwa akihojiwa na Jesse John na Chacha Maginga wa TBC Taifa wakati wa mapumziko ya mechi ya Yanga vs African Lyon na ndiye aliyekokotoa na kutoa goal difference ya moja(kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu ya VodaCom) na akasema endapo Yanga itashinda mechi ya leo kwa idadi ya magoli zaidi ya 2 itakuwa imeizidi Simba kwa uwiano huo wa magoli ya kufunga na yale ya kufungwa..............Ndiyo maana baada ya mechi hii Yanga inaongoza kwa goal difference ya 1
 
Hivyo basi Yanga anafikisha point 46, magoli 29 ya kufunga na 7 ya kufungwa, goal difference = 22
Simba nae ana point 46, magoli 36 ya kufunga, 16 ya kufungwa, goal difference = 20

kwa biashara hii yanga ni bingwa kwa 90%...ukiangalia timu anayoenda kucheza nayo ambayo ni Tawi la Yanga sitegemei kama watawazuia...
 
Mkuu....Hayo maelezo niliyoyatoa hapo juu sio yangu,ni kwa mujibu wa Afisa habari wa TFF Boniface Wambura ambaye alikuwa akihojiwa na Jesse John na Chacha Maginga wa TBC Taifa wakati wa mapumziko ya mechi ya Yanga vs African Lyon na ndiye aliyekokotoa na kutoa goal difference ya moja(kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu ya VodaCom) na akasema endapo Yanga itashinda mechi ya leo kwa idadi ya magoli zaidi ya 2 itakuwa imeizidi Simba kwa uwiano huo wa magoli ya kufunga na yale ya kufungwa..............Ndiyo maana baada ya mechi hii Yanga inaongoza kwa goal difference ya 1
Simba tujilaumu wenyewe...Yanga anauwezo wa kuwafunga ndugu zao Toto Africa hata 5...
 
Nilifatilia mechi tatu za mwisho za Maji Maji, jamaa wako vizuri sana sijui wameshukaje daraja.. hivyo simba hiyo mechi itakuwa ngumu tofauti na Yanga atakapo kutana Toto..
 
kwa biashara hii yanga ni bingwa kwa 90%...ukiangalia timu anayoenda kucheza nayo ambayo ni Tawi la Yanga sitegemei kama watawazuia...

Mkuu Balantanda naona amerekebisha hiyo Goal difference hapo juu, kwa mujibu wa maelezo aliyoyapata kutoka kwa B. Wambura wa TFF (kama nae atakuwa sahihi kwenye matokeo yote ya Simba na Yanga mwaka huu) kwamba Simba goal difference ni 21 na Yanga ni 22.

Kwa hali hii, mechi za mwisho zinaweza kujaa mazingira ya rushwa.
Ili Simba awe Bingwa, itabidi aizidi Yanga kwa magoli mawili au zaidi kwenye ushindi wao mechi ya mwisho (kama zote zitashinda)
Mfano, Yanga akishinda 1 - 0 Simba itamlazimu ashinde 3 - 0
Yanga 3 - 0, Simba itabidi ashinde 5 -0 n.k
 
Simba tujilaumu wenyewe...Yanga anauwezo wa kuwafunga ndugu zao Toto Africa hata 5...

Simba wasipo kuwa mabingwa mwaka huu (wana nafasi finyu kwa sasa) basi lazima liibuke GOGORO la kufa mtu klabuni kama lililotokea Yanga.
Hizi sare mbili mfululizo za mwisho ndio haswaaa zitatumika kutafuta mchawi kwenye klabu ya Simba, maana zote wamenusurika kichapo
 
Mkuu....Hayo maelezo niliyoyatoa hapo juu sio yangu,ni kwa mujibu wa Afisa habari wa TFF Boniface Wambura ambaye alikuwa akihojiwa na Jesse John na Chacha Maginga wa TBC Taifa wakati wa mapumziko ya mechi ya Yanga vs African Lyon na ndiye aliyekokotoa na kutoa goal difference ya moja(kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu ya VodaCom) na akasema endapo Yanga itashinda mechi ya leo kwa idadi ya magoli zaidi ya 2 itakuwa imeizidi Simba kwa uwiano huo wa magoli ya kufunga na yale ya kufungwa..............Ndiyo maana baada ya mechi hii Yanga inaongoza kwa goal difference ya 1

Kiongozi wangu

Nimepata habari tofauti na alizosema Wambura wa TFF
Source mojawapo ni vipindi vya michezo leo jioni hii ambapo karibu vyote vinasema Yanga goal difference ni 22 wakati Simba ni 20
Source ya pili ni HAPA ambayo ni website ya TFF wenyewe
So inawezekana Wambura kateleza ktk maelezo yake

Na HAPA ndio matokeo ya mechi zote za Ligi Kuu za Vodacom mwaka huu kwa mujibu wa website ya TFF wenyewe
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu wangu,nadhani tatizo liko kwenye maelezo ya Wambura na watangazaji wa TBC Taifa ambao wamesema GD ni 22 kwa Yanga na 21 kwa Simba.....All in all ni kwamba tuko ukurasa mmoja na ninaomba Yanga tuchukue Ubingwa(hii itakuwa ni chanzo kwa bundi kuingia Msimbazi akitokea Yanga maana kuna wachezaji tayari wameshaanza kutuhumiwa kwamba wameuza mechi ya jana na JKT Ruvu......lol)
 
Leo ni lala salama ya ligi kuu Tanzania bara huku simba wakiingia uwanjani wakiwa wameshatangazwa mabigwa na Azam FC wakiwa washindi wa pili na Yanga wakiwa wana jikongoja nafasi ya tatu. Timu nyingi leo zina ingia uwanjani zikiwa zina linda heshima tu lakini kwa timu ya Villa Squad na African Lyon watakuwa wanapigania kukwepa kushuka daraja kwani moja ya timu hizo lazima ashuke daraja kuungana Polisi Dodoma na Moro United.

Simba na Yanga
JKT Oljoro na Polisi Dodoma
Ruvu Shooting na Villa Squad
Coastal Union Toto
African Lyon na JKT Ruvu
Azam FC na Kagera Sugar
Mtibwa Sugar na Moro United
 
nimeamua kwa that kabisa kuwa fan wa azam "wazee wa cookies"
 
rage kiboko nasikia kakomalia swala la kago mpaka fifa imemruhusu kucheza..hii ndiyo kazi ya kiongozi..hongera rage
 
nimeamua kwa that kabisa kuwa fan wa azam "wazee wa cookies"
ni wamzi mzuri lakini nijuavyo tanzania ni ama simba au yanga je maamzi yako yamesababisho na ule ugonjwa bobansunzu..hahahaha
 
Back
Top Bottom