Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
salama mtani, hongera kwa ushindi wa leo ila subirini kipigo kutoka kwetu..hahaha
Hahaaaaaaaaaaaaaaa........................Haya bana

Naona 'muuaji' samoah yupo kwenye fomu ya ajabu.....

Halafu leo ni Birthday ya mpishi Rashid Gumbo 'Fundi'
 
ubingwa kumbe wa yanga! muda tu ndo unasubiliwa! yanga bingwaaaaa wa bara 2011/2012, kama hautaki basi haulazimishwi.
 
Wandugu vipi mbona kimya?
Vipi maendeleo ya mechi kati SSC na A Lyon?
Tafadhali mlio na access tupasheni.
 
Back
Top Bottom