Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Ni mchezaji gani aliyekosa penalty? Itakuwa ni mara ya pili mnyama anakosa penalty. Something must be done.

Pamoja na yote...HONGERA SIMBA, DAIMA MBELE! TUANGALIE MBELE KWENYE MECHI ZIJAZO. Tusirudie kosa.
Victor Costa.
 
Yanga wanacheza jtano. Mechi za leo; Toto 0-2 JKT Oljoro, Ruvu Shooting 0-0 Azam na JKT Ruvu 0-0 Villa Squad.
 
Hao Coastal Union si ndio wanashika mkia kwenye ligi? Kunani pale Tanga? Mbona kila kitu kimekufa?
 
Hongera zenu watani Balatanda, CPU na wengine, jikongojeni msogee sogee kabla hatujachukua pointi zetu sita kutoka kwenu.
 
Inaelekea MAGAMBA wamefufuka, sijui nani katoa hela ya kuhonga leo?
 
Hongera zenu watani Balantanda, CPU na wengine, jikongojeni msogee sogee kabla hatujachukua pointi zetu sita kutoka kwenu.
Asante mtani......Inaweza ikawa comeback kama ya msimu ulioisha mkuu...
 
Back
Top Bottom