Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Endelea kutupa update mkuu. Upo uwanjani au kuna station inarusha? Au vyote viwili?
 
Vipi wazee, timu hazijarudi dimbani? Hali ya mchezo ikoje baada ya mapumziko ya michezo ya timu za taifa?
 
Pius Kisambale anaingia badala ya Jerry Tegete
 
Kama sisi vipofu,hao wanaoona mpaka sasa ushindi wao mnono ni wa goli ngapi?huyu coastal mwenyewe mlimpiga kamoja kakichooovu....anyway tunasubiri kushuka daraja kama wengi walivyotabiri!

yule bosi wenu mliyempigia magoti amerudi?
 
Kado katulia sana golini leo......

Dakika ya 86 sasa....

Yanga 1:0 Kagera Sugar
 
Kiizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mpira unagonga mwamba.................
 
Game ikiisha hivi Yanga watakuwa na point 15 na watapanda hadi nafasi ya 3 , wataishusha JKT Ruvu kwa Goal difference...

Dakika ya 90 sasa(zimeongezwa dakika 3)

Yanga 1:0 Kagera Sugar
 
Game ikiisha hivi Yanga watakuwa na point 15 na watapanda hadi nafasi ya 3 , wataishusha JKT Ruvu kwa Goal difference...

Dakika ya 90 sasa(zimeongezwa dakika 3)

Yanga 1:0 Kagera Sugar

Dah!!!........wanasogea sogea taratibu
.
 
Back
Top Bottom