Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Naomba majina ya mawaziri waliokuwepo uwanjani kmpokea Obama, Nilimwona Mwigulu na kilemba chake akicheza ngoma
Kwa maana hiyo Mwigulu aliingia kama mcheza ngoma? hakupata nafasi za VIP kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
 
Jamani kuna mtu kamuona m7 (museveni) maana inasemekana alikuwa anamsubiri jaluo
 
Rais Kikwete anaulizwa na mwandishi wa NBC news kuhusiana na ile kesi ya trafficking ya diplomati ubalozi wa Tanzania Marekani.

Jk mtupu vibaya sana yaaani haelewi kitu mweee aibu
 
Juzi Waziri wetu wa Mambo ya nje aling'aka alipoulizwa swali hili. Leo linaulizwa kwenye forum kubwa ya kidunia. Rais kajibu lakini naona majibu yake yataleta tafrani zaifi. TusubirI mfuatilio wa wana habari.
Wana Habari gani?....
 
Kajibu vizuri ndio kajibu nini? yani kikwete amejing'atang'ata tuuu halafu wewe unataka kudanganya watu hapa eti kalijibu vizuri? au kwakuwa maimuna hata alichokijibu hukijui?

Sitarijii wewe hata siku moja kumumkubali Jk kwakuwa umeajiriwa kupre empty watanzania.
 
Hizi pesa zimelipwa na nani na kutoka fungu lipi? Mfalme akiwa uchi umwambie na siyo kumpumbaza eti amependeza. who is Mzengi mpaka kodi zetu zitumike kusolve damage zake?

Nimeshindwa kuelewa hiyo kesi ilimhusu jamaa yeye kama yeye au serikali, au serikali inaingiaje kwenye liabilities za huyu jamaa. Au wamemlipia wamempa mkopo analipa kidogo kidogo?
 
Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa Demokrasia sio kwenye uchaguzi tu ila ni pamoja na kushirikiana na wapinzani ikiwa ni pamoja na sauti na maoni yao kusikilizwa bila kupuuzwa.

Alisema hayo jioni hii Ikulu Dar es salaam wakati akijibu swali la waandishi wa habari.

Heko OBAMA. MASSEGE SENT.
 
Morsi muda wake unahesabika

Tatizo ni kwamba watakuwa na guarantee kiasi gani kuwa rais ajaye anaweza kutatua kero zote walizonazo wakati kila siku ni kuandamana tu?

Wafuasi wa Mursi wakianzisha kunji tena baada ya rais mpya, kutakuwa na utawala au kila siku watabadilisha kuridhisha waandamanaji?
 
obama amesifu kuendelea kuimarika kwa uhusiano baina ya tanzania na marekani ulioasisiwa na nyerere na marais tangulizi wa marekani.

Obama pia ameisifu tanzania kwa kudumisha amani na kuiomba tanzania kushiriki kutafuta amani congo kwa vile tanzania ndiyo taifa wanalolitambua katika utatuzi wa migogoro katika ukanda huu wa maziwa makuu.

Akazitaka pia nchi za afrika mashariki na kati kuendelea kukutana mara kwa mara ili kutatua migogoro.

kampongeza jk kwa uimara wake katika kushughurikia maswala kadhaa ya taifa lake yakiwemo ya usalama na uchumi.
 
Bora hiyo maana kama Rais angekuwa Bush ingeitwa "Bush Road".

Hapana, labda ingeitwa George W. Bush Drive.

Wengine huu ushobokaji tulishautabiri (predicting the obvious) tokea ilipotangazwa Obama atazuru Tanzania. Sasa leo imeripotiwa eti kuna hadi watu walikuwa wanatokwa na machozi wakimshangilia. Beyond aibu kwa kweli.
 
The best statement! hata akiondoka sasa inatosha!
 
Thubutu ukute Marekani eti barabara hata iliyochokachoka iitwe DHAIFU Jakaya Mrisho Kikwete...Sisi kwa kujigonga gonga banaaaa!!!!

Yaani Rais wa nchi anaingia lango la Ikulu yake kwa barabara ya Barack Obama

Eeewww
 
Back
Top Bottom