Hivi hao wapiga vigelegele wametolewa wapi? Hawana kazi zingine za kufanya?
Ulitaka waje kubeba mabox hapo Marekani kama wewe?
Sasa hizo nguo mbona wamepewa wanawake tu? au manispaa zetu hazina wanaume??
maana ndiko walikowatoa'
Ahsante kwa taarifa ina maana barabara ya Nyerere imeshafungwa.Msafara wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ndio unaingia hapa airport
![]()
Masaa matatu yaliyopita -Mgeni akiaga kwa madiba tayari kuruka kuja Dar!
Hivi hao wapiga vigelegele wametolewa wapi? Hawana kazi zingine za kufanya?