Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Tayari magari yameshakaribia lango kuu la kuingia ikulu na walinzi wapo hapa wanazunguka zunguka na jk tayari yuko hapa kesha fika tayari kumkaribisha ikulu obama.
 
mkct_project1.jpg


"ujumbe wetu"

karibu dar es salaam
 
Comments za waandishi wa habari wa TBC 1 zingine zinashangaza kabisa na za uongo. Kwa nini wasitafute facts mapema na kuzitumia wakati wa matangazo live. wanajua wanaoangalia na kusikiliza ni watu wa aina tofauti na wengine ni waelewa. Kuna mmoja kasema eti rais anaweza kubadilisha ndege angani!

Mi mwe yewe hiyo ya kubadili ndege angani imenishangaza kidogo!

labda kina@mzee mwanakijiji na Shadow wanaweza kutusaidia hili, kama inawezekana kumhamisha rais kwenye air force one kwenda nyingine
 
Comments za waandishi wa habari wa TBC 1 zingine zinashangaza kabisa na za uongo. Kwa nini wasitafute facts mapema na kuzitumia wakati wa matangazo live. wanajua wanaoangalia na kusikiliza ni watu wa aina tofauti na wengine ni waelewa. Kuna mmoja kasema eti rais anaweza kubadilisha ndege angani!

Watangazaji wa TBC wamenichefua sana, eti wana usalama wamevaa miwani zinazoonesha pande zote nne!!! Mara jiji lote la dar lipo kwenye msafara wa obama.. sikuelewa anaamanisha nini.. jamaa wameleta stori zile za kwenye vibanda umiza vya kuangalia video mtaani.. so pathetic!
 
kama tukiwa majumbani na offisini tunapata picha toka ikulu kwanini hao wamarekani wasifanye wanalofanya kumlinda Raisi wao.
 
Vipi Mkuu Mwita Maranya umejongea kwenda kumlaki kijana Baraka gudi Hussen gudi Obama (Jatelo toka Ko'Ogelo)?

Mkuu Kimbunga sijaweza kwenda nilikuwa na shughuli muhimu ya kufanya na sikuona umuhimu wa kuacha kumtafutia Rhobi wangu tonge kwa ajili ya Obama.
Jioni nitamuona kwenye runinga nadhani hiyo inatosha. Vipi kamanda wewe umefanikiwa kwenda kumlaki?
 
Last edited by a moderator:
Obama anapita na watu wanaotoa machozi wakimshika mkono hawataki kumuachia. Karibu Tanzania Obama cc tunamapendo ni watu wachache tu wanataka kuharibu hali ya hewa.
 
Karibu Obama ila naomba ukiondoka uondoke na Mwigulu, Nape, Kinana, Wassira, Lukuvi na Pinda.
Kwa maelekezo zaidi tafadhali unijulishe ukiwa unashuka nao D.C.
 
kumbe bushi nae yupo bongo? watakutana na obama kesho ubalozi wa marekani
 
''Usafi Muhimu kabla mgeni ajafika''

000_Par7601988.jpg
A man sweeps a red carpet as women, wearing khanga traditional wraps with portraits of US President Barack Obama, wait on July 1, 2013 at the State House to participate in an arrival ceremony for the US leader in Dar es Salaam, the last leg of his Africa tour.

Ufagio wa chelewa kwenye carpet au ni macho yangu
 
Watangazaji wa TBC wamenichefua sana, eti wana usalama wamevaa miwani zinazoonesha pande zote nne!!! Mara jiji lote la dar lipo kwenye msafara wa obama.. sikuelewa anaamanisha nini.. jamaa wameleta stori zile za kwenye vibanda umiza vya kuangalia video mtaani.. so pathetic!

wameishiwa maneno.....
jiji lote liko kwenye ziara ya Obama watu tuko kwenye shughuli zetu sa hii
 
Back
Top Bottom