Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

kwanini swali la obama JK naye anajibu?

MCC utendaji wake unasimamiwa na Obama? yule mwandishi wa Jambo ameshindwa kujua swali alielekeze wapi! Swali alipaswa aulizwe Kikwete.
 
Dah..kwel huyu jamaa yuko smart I

Hmm wewe nawe....sasa nini hapo alichokisema kinachokufanya useme "jamaa yuko smart"? Mbona ni wa kawaida tu na majibu anayotoa ni ya kawaida tu....au ndiyo ubabaikaji wenyewe huo?
 
salehe frm congo

hakuna amani kongo kwa zaidi ya miaka 18 sasa
how is us going to assist congo into permanent peace???

obama wananchi wa congo wanahitaji mabadiliko
wana resources
us doesnt impose soln but inashirikiana na nchi zinazohimiza amani, kikwte anatusaidia sana ktk hili
alikutana na kabila kuhusu drc, mazungumzo yanaendelea na sisi us tunashirikiana nao kwa karibu sana
congo kuna small groups za msituni ndio zinakwamisha amani
 
OBAMA USA ITAISAIDIAJE CONGO KTK HALI YA ILIYOPO HUKO. Obama anasema bado tunalingalia na kuona jinsi gani usalama utapatikana kwa njia ya kidiplomasia na anamshukuru kikwete kwa juhudi anayoifanya kuhusu Tatizo hilo.
 
Obama anampongeza Kikwete na anasisitiza kwamba lazima Kabila asaidiwe kutengeneza Capacity. Na indirectly amepiga madongo kwa Kagame kwa kuharibu mambo Congo.
 
kwakweli nimesikitishwa sana na swali kutoka kwa Mwandishi wa tanzania na pengine wasipate nafasi maana naona kuna waandishi kutoka nchi tofauti, bora huyu wa congo kauliza ni jinsi gani usa itasaidia kudumisha usalama Congo.
 
obama kaulizwa swali la mgogoro wa congo how usa inaweza saidia congo kupata suruhu ya kudumu?

We dont want to impose American solutions to African problems....we want to work with Africa to find solutions
 
We Provide Aids to Egypt not only looking at how protesters are on the road, but we look how the Government listens to opposition,how the governments maintains free press,no intimidation,freedom of expressions>>>Barack Obama


Kama ni kweli wanaangali hivi vitu soon Tz tutakosa misaada to USA
 
Kwa nini Salva anawachagua wa kuuliza badala ya wao kuchagua wanaoomba kuuliza. Inaonyesha walishapangwa! Na pengine mswali kujulikana...
 
mbona wauliza maswali wanaitwa kwa majina? Halafu mbona kama maswali yameandaliwa, sione ile shot the dark, hiden may come out!!

SP
 
Obama anaulizwa na mwandishi kutoka Kongo Marekani itaisadia vipi kupatikana kwa amani DRC

Anajibu the people of the DRC needs change.

Anasema DRC is rich in natural resources, lakini wananchi hawajafaidika nazo.

Anamshukuru Rais Kikwete kwa kuchangia kwenye peace process DRC.

Anasema Rais Kabila has to do more.

Anasema nchi zinazoizunguka DRC nazo zina wajibu pia kwa kuleta amani DRC.

If the DRC stabilizes, that will improve stability in the region.

Tanzania should do more trade with DRC

Amesema pia kuwa kuwepo kwa stability kutasaidia Rwanda kufanya biashara na DRC
 
Bhandugu, western medias zina matatizo, Reuters tweets zao zote wana tweet ambazo Obama anajibu tu, za Kikwete hawa tweet!. Na hata za Obama wanachagua, check hii

Reuters Top News ‏@Reuters 4m
Obama says U.S. aid to Egypt dependent on if government is following rule of law, listening to opposition, not using violence #breaking




 
2013-07-01t131607z_785290670_gm1e9711n1101_rtrmadp_3_obama-tanzania.jpg




Huyu sio Mkurugenzi wa Bahati nasibu au ni macho yangu? Kumbe inabidi uwe na wadhifa kujipanga hapa sio bure
 
Obama yuko briefed vizuri sana na wasaidizi wake, anaonesha uelewa mkubwa sana katika kujibu maswali, kwani akiteleza ulimi kuna damage kubwa inayoweza kufanyika.
 
Obama anaulizwa kuhusiana na Snowden.
 
Rais Kikwete anaulizwa na mwandishi wa NBC news kuhusiana na ile kesi ya trafficking ya diplomati ubalozi wa Tanzania Marekani.
 
Mwandishi wa NBC safi sana kuhusu hilo swali linalomhusu Msengi (yule jamaa wa ubalozi DC):clap2:
 
Back
Top Bottom