The Great Architec
Member
- Aug 19, 2012
- 86
- 18
kikwete ndani ya cnn tetemeka mbaya mpaka asome alichoandikiwa kiingereza chenyewe cha kuunga
Kikwete anaongea ka kapaniki vile....ameanza kwa kutaka kuchekesha ikashindikana...ajitahidi kutulia asitutie aibu
Namshukuru jk kwa kuendelea kutoa mchango wake katika kulinda amani nchini congo.
kuna ----- la jambo leo limeuliza swali kwa Obama aisee!Hahahahahah lol! Haya Mkuu kila la heri katika kukafanyia maombi 🙂🙂
Aangalie na ugaidi wa Mwigulu na jeshi letu la Polisi...